Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii speed ningekuwa naipata mchana ikiwa hivi hivi ingenifaa sana
View attachment 3061838
Ila kifurushi kikiisha narudi zangu Airtel kule niliishi maisha ya anasa sana
Kuna mwanangu alichukua naye, tulipishana wiki.Kama huna matumizi nayo tena niuzie mimi nihangaike nayo inawezekana eneo nililopo ikanipa kilicho bora[emoji3]
Airtel ni reliable mkuu kwa hio 70k ? Niliona wana router zina power bankKutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
View attachment 2741119
Tigo postpaid
View attachment 2741120
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.
Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye huu uzi wapo pia, ila kuwa makini na matapeli.
Update
Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.
Vodacom
-kasi internet inaanzia 50,000 kwa mwezi, unatumia around GB 20 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.
-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni
Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.
GB 24.6 sio 246,
70K ni 10mbps kwa feedback za wadau humu kama upo eneo lina 4G pekee inaweza ikazingua nayo, sijaona malalamiko kwa walio maeneo yenye 5G.Airtel ni reliable mkuu kwa hio 70k ? Niliona wana router zina power bank
Vodacom wako vizuri lkn kiukweli kuna muda wanazingua sana poor response
Ndio hicho hicho
Iko hivi..GB 24.6 sio 246,
Hichi kifurushi cha unlimited 50,000 bado hata mimi sijakielewa vizuri, pengine ni mpaka connection, maana hata ukienda ofisi zao hawakijui.
Washushe bei kidogo iko kifurushiHapa ndio Voda uwa wanachukulia point tatu kwenye mitandao mingine... Vodacom nina mwaka na zaidi ninatumia Internet yao, Ila ukishalipia ile 120k Matumizi yako utajikadilia mwenyewe..
Ngoja nikilipie nione nitadumu nacho kwa mda gani..Iko hivi..
Hicho kifurushi kinauzwa kwa siri kwasababu kwa mujibu wa sera za TCRA zimepiga marufuku makampuni kuuza unlimited kwa bei hiyo.
Ndio maana hutaona kwenye pages zao wakifanya promo kuhusu hicho kifurushi.
Lakini sababu ya wao kuweka 24,6GB ilikuwa ni kuwatoa maboya hao TCRA ili wasije kusanuka kuwa kuna fraud inafanyika.
Ndio maana ukiangalia hapo juu kuna kifurushi kipo cha 50K kinatoa GB66 swali la kujiuliza kivipi hiki kingine cha 50K kiwe na 24GB, nani ambaye anaweza kuacha GB66 akanunua 24GB.
Ni huduma nzuri ila due to my personal experience hii service haina consistency, haikupi speed bora inayodumu muda mrefu.
Na leo naweza kusema at least sio kama jana, lakini kuna moment hata kufungua picha inakuwa mtihani.
Lipia tu ila speed tu ndio changamoto kwa baadhi ya watu, jalia tu usiwe miongoni mwaoNgoja nikilipie nione nitadumu nacho kwa mda gani..
Na lazima line iwe m2M ama hata line za kawaida itakubali?Iko hivi..
Hicho kifurushi kinauzwa kwa siri kwasababu kwa mujibu wa sera za TCRA zimepiga marufuku makampuni kuuza unlimited kwa bei hiyo.
Ndio maana hutaona kwenye pages zao wakifanya promo kuhusu hicho kifurushi.
Lakini sababu ya wao kuweka 24,6GB ilikuwa ni kuwatoa maboya hao TCRA ili wasije kusanuka kuwa kuna fraud inafanyika.
Ndio maana ukiangalia hapo juu kuna kifurushi kipo cha 50K kinatoa GB66 swali la kujiuliza kivipi hiki kingine cha 50K kiwe na 24GB, nani ambaye anaweza kuacha GB66 akanunua 24GB.
Ni huduma nzuri ila due to my personal experience hii service haina consistency, haikupi speed bora inayodumu muda mrefu.
Na leo naweza kusema at least sio kama jana, lakini kuna moment hata kufungua picha inakuwa mtihani.
Line ni M2M ila sina hakika kuwa kila M2M ina hiyo access ya hicho kifurushiNa lazima line iwe m2M ama hata line za kawaida itakubali?
Usisahau kutoa feedback tafadhali.Ngoja nikilipie nione nitadumu nacho kwa mda gani..
Nakiri kuwa yalikuwa ni maamuzi ya kimhemko kuwakimbia Airtel
Sikupaswa kulipiza ubaya kwa ubaya, sikupaswa kuwafanyia vile. Nilipaswa kuwapa nafasi ya pili
Ona sasa Halotel wanavyo nifanyia
View attachment 3061528
Ulimwengu huu kweli ni wa kumpa 3G mteja?