Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Yes inawezekana kabisa bila shida ila uwe unaweka vocha angalau kila mwezi mara 1 ya KSH 10 na zaidi..

0768972257

Mcheck huyo kama upo Dar anazo chips za Safaricom anaendaga Kenya na kuja nazo..
huyu jamaa ako nimemtumia hela jana jioni akasema amemtuma mtu akanitumie hiyo line....badaaye nampigia simu hapokei kabisa..kuna usalama kweli hapa au ndio mambo ya mtandaoni nihasibiwe maumivu?
 
huyu jamaa ako nimemtumia hela jana jioni akasema amemtuma mtu akanitumie hiyo line....badaaye nampigia simu hapokei kabisa..kuna usalama kweli hapa au ndio mambo ya mtandaoni nihasibiwe maumivu?
Hata usijali atakutumia tu, sometimes mzito kupokea simu make ana harakati zingine za kuzunguka zunguka kutulia kwake usiku, unless otherwise kama kuna shida zaidi mambo yameshindikana ni vyema akakurudishia hela yako..
 
amenitumia kaka shukrani inaonekana yuko busy sanaa na mzito kupokea simu
 
Attachments

  • Screenshot_20250628_142816_com.whatsapp.w4b.jpg
    233.6 KB · Views: 36
Kwa nilivowasikia kwenye page yao walisema 80% ya mkoa wa dar imekuwa covered wapo na Dodoma na soon watakuwa Zanzibar, Tanga na Morogoro
Mwanza mwaka jana pia niliona wanatandaza nyaya zao na kuna sehemu walikua wanazipitisha kwenye nguzo zile ndogo kama walizokua wanatumia TTCL wayback..
 
Hivi apk ya azam tv au star time inaweza kufanya kazi kwenye android tv??
Habari njema kwasasa, ukiwa na Android Tv, app ya Azam Tv Max inapatikana play store na inafanya kazi vizuri sana kwenye TV japo HD yake sio nzuri. Nafikiri wataboresha mbele ya safari.

Muhimu:
Tv iwe android
Uwe na account ya azam tv iliyolipiwa
Uwe na internet nzuri

Cc: Chief-Mkwawa
 
Ninaona kuwa Airtel wamefanya maboresho kidogo katika vifurushi vyao. Ni mwelekeo mzuri sana kwa tusio kwenye maeneo yenye faiba.

70,000 - 20mbps
110,000 - 40mbps

Pamoja na punguzo kama ukilipia miezi kadhaa mbele.
 
Attachments

  • 20250706_143317.jpg
    295.6 KB · Views: 42
  • 20250706_143230.jpg
    208.2 KB · Views: 34
  • 20250706_143244.jpg
    303 KB · Views: 35
  • 20250706_143250.jpg
    311.9 KB · Views: 34
  • 20250706_143258.jpg
    307.4 KB · Views: 39
  • 20250706_143323.jpg
    301.3 KB · Views: 35
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…