The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Izo ndio comment nilikua nazisubiria embu bro weka namba nikupe chochote kituNyie wanawake wa kisasa ni wajinga mnakujaga na hoja ya usasa kwenye masilahi tu. Hapa tungesema mwanamke ahudumiwe na mwanaume usingekuja na vice verse yakutaka na wanawake wenye uwezo wshudumie wanaume wao pia.
Mwanaume na mwanaume hawawezi kuwa uniform kwenye kila kitu. Kila jinsia inahukumiwa kwa vigezo tofauti. Mwanaume anauhukumiwa kwa status/financial power. Mwanamke anahukumiwa kwa purity/virgin
Chief naomba unandike uzi special kuniomba radhiUnaweza kukuta mama wa mtoa mada aliolewa akiwa single mother Na Mtoto wa kambo mwenyewe ndo huyu mtoa mada 🔥
Ya kimwili ilinikomesha hivyo siihitaji,now nadeal na ya kiroho na ndio inayonipa Amani ya kweli nafsini mwangu. Amani inayonifanya hata nikiwa sina hela nionekane ninazo nyingiK
Kimwili
Kila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kambaWanaume wenzenu wanajimilikisha migodi ya makaa ya mawe na almasi nyie mko busy kumiliki migodi yenye yutiayi PUMBAVU KABISAA 😡
Huyo bikra unampata wapi Shekhe? Labda umzae binti yako mwenyewe na mwanamke asiye bikra then umuone binti yako mwenyewe ili upate bikraKama kuna kitu katika maisha yangu yote sitokuja kufanya ni kumuoa mwanamke asiekua bikra.
Simuamini tena Ata sekunde.
Hivi mwanamme mwenzangu unapata wapi imani hio hasa mwanamke hajawah kuoelewa unamkuta sio bikra una mchukua unamuweka ndani.
Aisee hilo kwangu halitokuja litokee na ikitokea basi namrudisha kwao hata usiku mmoja kwangu halali
Bikira ni kiashiria cha maadili mema, mwanamke kujithamini na nidhamu ya kuzibiti tamaa. Ofcourse hakuna namna moja ya ku-deal na kila binadamu. Lakini suala la mke kukuchiti probality kubwa zaidi ipo kwa mwanamke ambae ulimkuta ashatumikaUnaweza kuoa bikra na badae akaja saliti ,mwanamke haeleweki cha umuhimu usiweke asilimia zote Kwa mwanamke
Zanzibar wamejaa teleHuyo bikra unampata wapi Shekhe? Labda umzae binti yako mwenyewe na mwanamke asiye bikra then umuone binti yako mwenyewe ili upate bikra
Ndio hivyo humu Kuna visa vingi nimesoma kama kuna kimoja jamaa alikuwa na demu wake wa chuoni akamtoa bikra ila baadae demu akaja msaliti Kwa kutembea na dokta na akaja beba mimba juuTena akishakutana na wahuni ni mwendo wa ngiri
Mbele na nyuma anapigwa
Na kule dirisha la nyuma kupo swalama?Zanzibar wamejaa tele
Vote havijawahi kufunguliwaNa kule dirisha la nyuma kupo swalama?
Ujinga ni mzigo wa aibu sana 🚮🚮Kila jinsia inahukumiwa kwa vigezo tofauti. Mwanaume anauhukumiwa kwa status/financial power. Mwanamke anahukumiwa kwa purity/virgin
basi hao pepo lipo kwa ajili yao na waume zao waaminifu. Mungu awajalie watoto wa kike wa Kizanzibar roho njema ya kuendelea kutunza heshima yao na utu wao wa asili. Huku bara kukuta bikra ni sawa kumuona kakakuona mchana wa saa sitaVote havijawahi kufunguliwa
Kukosa watoaji hio sio kweli chiefMademu wa mtumba ndiyo wazuri jombaa
Unajipigia kwa namna unavyoona inafaa
Hao ma-bikira endelea kuwaamini, demu kuwa bikiria siyo kwamba anatabia njema, alikosa watoaji tu
Kuna ufadhari mkubwa sana. ni sawa na kununu kitu kipya na used au mtumba nadhani unajua faida yake hata kikija kukuharibikia kipo mkononi mwako.Unaweza kuoa bikra na badae akaja saliti ,mwanamke haeleweki cha umuhimu usiweke asilimia zote Kwa mwanamke
Wewe na samia tuwahukumu kwa kigezo gani bwashee?Nyie wanawake wa kisasa ni wajinga mnakujaga na hoja ya usasa kwenye masilahi tu. Hapa tungesema mwanamke ahudumiwe na mwanaume usingekuja na vice verse yakutaka na wanawake wenye uwezo wshudumie wanaume wao pia.
Mwanaume na mwanaume hawawezi kuwa uniform kwenye kila kitu. Kila jinsia inahukumiwa kwa vigezo tofauti. Mwanaume anauhukumiwa kwa status/financial power. Mwanamke anahukumiwa kwa purity/virgin
Kwenye mada ambayo inaongelea hali jumuishi utakua mjinga ukitaka kuleta hoja yako kwa kumlinganisha mtu mmoja mmojaWewe na samia tuwahukumu kwa kigezo gani bwashee?