Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Kwa Lugha nyepesi unahamasisha tuoe watoto wadogo wa Madrassa si ndio Chief?
 
Ndio mkiwatoa bikra muwaoe sasa hapo hapo, sio unatoa bikra unaacha halafu unaenda kutafuta nyingine, huyo uliyemtoa unamuachia nani?
 
Siku ukijakuwa mwanaume tutakujibu kwa sasa endelea kukua kwanza utoke kwenye uvulana
 
Una changamoto ya akili.
 
Kwenye mada ambayo inaongelea hali jumuishi utakua mjinga ukitaka kuleta hoja yako kwa kumlinganisha mtu mmoja mmoja
Dunia kwa sasa imebadilika sana, wanawake wengi tu wanaweza kukuzidi kila kitu , zamani hizo walikua wanafungiwa ndani tu sasa wanatoka na kupata maarifa makubwa tu na kushindana kama anavyofanya mwanaume tu.
 
Ungejaribu wewe kwanza kutunza uvulana wako.

Umeongelea gharama, sasa kugharamikia kunahusiana vipi na wewe mwanaume kulomba hovyo hovyo na kushindwa kujitunza ukisubiri ndoa?
Sawa kama tunashindana ivo kwanini tusishindane pia katika gharama za hatusi na maisha yetu baada ya ndoa
 
Sawa kama tunashindana ivo kwanini tusishindane pia katika gharama za hatusi na maisha yetu baada ya ndoa
Mimi na wewe hatuwezi kushindana, mwanaume mwenye akili kama zako sitaki hata anisogelee.

Pia ninajimudu, sina utegemezi kwenye maisha, wewe endelea kutafuta hao wa type yako utakaoweza kuwacontrol.
 
nyie mnao jishauwaga ivi ,ndio mnakujaga kuowa vitu vya ajabu mpka mnatengwa na ukoo mzima.
 
Naona masimp mliioa/wenye mademu mitumba mnaangaika kutetea ufala wenu. Halafu mitumba wenyewe wanasoma comments zenu huku wanawachora tu mlivyokua mabwege.

Hakuna uniqueness yoyote ambayo mwanamke alietumika anaweza kum-outshine mwanamke bikira. Kitamaduni na kidini mwanamke ambae hana bikira na hajaolewa anatambulika kama '' malaya''
 
Mimi na wewe hatuwezi kushindana, mwanaume mwenye akili kama zako sitaki hata anisogelee.

Pia ninajimudu, sina utegemezi kwenyw maisha, wewe endelea kutafuta hao wa type yako utakaoweza kuwacontrol.
Polee sana bint, mwanamke aliumbwa awe queen ahudumiwe na mume wake kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…