Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Bado hujakua, ni utoto tu unakusumbua!Polee sana bint, mwanamke aliumbwa awe queen ahudumiwe na mume wake kila kitu
Wale watu wa ardhi ya mfalme Charles wanasema time will speak wakiwa na maana acha tuvute subra ili tuwaachie utoe majibu.nyie mnao jishauwaga ivi ,ndio mnakujaga kuowa vitu vya ajabu mpka mnatengwa na ukoo mzima.
Labda kweli ila Ata nikikua akili ni hizi hizi hazitokuja kuchangeBado hujakua, ni utoto tu unakusumbua!
Unachanganya topic mzee baba. Mada inaongelea suala la bikira na uhusika wake kwenye mahusiano, wewe unataka kuipeleka kwenye mlengo wa kiuchumi.Dunia kwa sasa imebadilika sana, wanawake wengi tu wanaweza kukuzidi kila kitu , zamani hizo walikua wanafungiwa ndani tu sasa wanatoka na kupata maarifa makubwa tu na kushindana kama anavyofanya mwanaume tu.
Asante mkuu kwa elim yakoNaona masimp mliioa/wenye mademu mitumba mnaangaika kutetea ufala wenu. Halafu mitumba wenyewe wanasoma comments zenu huku wanawachora tu mlivyokua mabwege.
Hakuna uniqueness yoyote ambayo mwanamke alietumika anaweza kum-outshine mwanamke bikira. Kitamaduni na kidini mwanamke ambae hana bikira na hajaolewa anatambulika kama '' malaya''
Kwenye bikra kila mtu ana machaguo yake ,hapa hakuna sheria ni machaguo ya mtu tu kama ambavyo wengine wanachagua weusi na wengine weupe , wala hakuna sheria wala kupangiana.Unachanganya topic mzee baba. Mada inaongelea suala la bikira na uhusika wake kwenye mahusiano, wewe unataka kuipeleka kwenye mlengo wa kiuchumi.
Kuna nadharia nyingi sana binadamu tumezisimika hapa miongo ya katikati mfsno 50/50,feminism n.k. Nadharia hizi zinajaribu kufanya brain programming kwenye akili zetu lakini bado inakua ngumu kuishinda nature.
Mfano Nigeria, Tiwa Savage ana pesa lakini bado anaangaika kumpata mume wa level yake. Leo hii Peter wa p square akiamua kuoa anapata mtoto mbichi kabisa licha ya kwamba jamaa ni playboy.
Thamani ya meanamke na mwanaume zinaangaliwa katika pande tofauti na sio hela kama unavyotaka kuonyesha hapa. Sisi wanaume huwa hatuna time na hela za mwanamke
Inaonesha umeshayakanyaga mkuu, polee sanaKwahiyo?? Kwani kama huwezi kumuoa asiye na bikra na ukabaki nalo mwenyewe bila kutuambia ingekuaje kwa mfano? Maamuzi yako unatuambia ili iweje sasa?
Mimi hata kuoa sijaoa na sitaki lakini wewe unatangaza maamuzi yako kwa watu ambao hawajakuombaInaonesha umeshayakanyaga mkuu, polee sana
Nako ilikuwa kitambo..!!!BIkra labda shule ya msingi.
Hakuna anaekupangia hapa tunaongea ukweli wa mambo. Mimi nikisema bikira anakuja kwako na purity, innocence mentality, insured womb, no spiritual complexity, sexual discpline e.t.c wakati mwanamke ambae ashatumika anakuja kwako na comparison, possibly destroyed womb cause by abortions, trauma, emmotional baggages, weak bond pairing e.t.c. Hapo sijakupangia cha kufanya isipokua nimekuambia ukweli kwaiyo jukumu la kufanya maamuzi linabaki kuwa ni la kwakoKwenye bikra kila mtu ana machaguo yake ,hapa hakuna sheria ni machaguo ya mtu tu kama ambavyo wengine wanachagua weusi na wengine weupe , wala hakuna sheria wala kupangiana.
naam 100%Unachanganya topic mzee baba. Mada inaongelea suala la bikira na uhusika wake kwenye mahusiano, wewe unataka kuipeleka kwenye mlengo wa kiuchumi.
Kuna nadharia nyingi sana binadamu tumezisimika hapa miongo ya katikati mfsno 50/50,feminism n.k. Nadharia hizi zinajaribu kufanya brain programming kwenye akili zetu lakini bado inakua ngumu kuishinda nature.
Mfano Nigeria, Tiwa Savage ana pesa lakini bado anaangaika kumpata mume wa level yake sababu umri umeeenda, single mother na past chafu(ana connection ya x mtandaoni) . Leo hii Peter wa p square akiamua kuoa anapata mtoto mbichi kabisa licha ya kwamba jamaa ni playboy.
Thamani ya meanamke na mwanaume zinaangaliwa katika pande tofauti na sio hela kama unavyotaka kuonyesha hapa. Sisi wanaume huwa hatuna time na hela za mwanamke tunataka purity tu
And you're already bankrupt 🤣🤣🤣🤣 that's game is riggedKama kuna kitu katika maisha yangu yote sitokuja kufanya ni kumuoa mwanamke asiekua bikra.
Simuamini tena Ata sekunde.
Hivi mwanamme mwenzangu unapata wapi imani hio hasa mwanamke hajawah kuoelewa unamkuta sio bikra una mchukua unamuweka ndani.
Aisee hilo kwangu halitokuja litokee na ikitokea basi namrudisha kwao hata usiku mmoja kwangu halali
Sio kila maamuzi unaombwa , dunia inahitaji fikra, mawazo, ubunifu, ushaur, maoni, kuuliza, mapendekezo ili kuongeza ufahamu wa watuMimi hata kuoa sijaoa na sitaki lakini wewe unatangaza maamuzi yako kwa watu ambao hawajakuomba
Unaweza Thibitisha kwamba kila mwanamke asiye na bikra anakuja kwangu na purity ,innocent mentally , insured womb na no spiritual complexity , na sexual discipline, hebu Thibitisha kimoja baada ya kingineHakuna anaekupangia hapa tunaongea ukweli wa mambo. Mimi nikisema bikira anakuja kwako na purity, innocence mentality, insured womb, no spiritual complexity, sexual discpline e.t.c wakati mwanamke ambae ashatumika anakuja kwako na comparison, possibly destroyed womb cause by abortions, trauma, emmotional baggages, weak bond pairing e.t.c. Hapo sijakupangia cha kufanya isipokua nimekuambia ukweli kwaiyo jukumu la kufanya maamuzi linabaki kuwa ni la kwako
Hiyo gentleman ni code name ya simp. Kwenye dating pool kwa sasa epuka sana na usikubali kuitwa gentlemanJaribu kuwa gentleman enough