Marlex Jr El
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 1,819
- 2,415
Acha au punguza kabisa chuki mkuu. Kueneza mabaya mtu mlieshindwana sio uungwanaWajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.
Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.
Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.
Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.
Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Huyo wajita hawana mazuri au huyo mjuta hana mazuri ?Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.
Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.
Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.
Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.
Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
πππππAcha au punguza kabisa chuki mkuu. Kueneza mabaya mtu mlieshindwana sio uungwana
Tabia za mtu mmoja/familia sio tabia za kila mtu ndani ya kabila/familia
ππππHuyo wajita hawana mazuri au huyo mjuta hana mazuri ?
Nyinyi na jamii zenu wote hamjawahi kuwa na mazuri hata siku moja, ni watu wachonganishi mno sijawahi kuona, wasengenyaji mnoo. Nimeishi na nyie muda mwingi mno itoshe kusema tu ninyi mnawezana nyie kwa nyie. Wabaya sana nyie watuWajita hatuna mazuri mkuu? hasa hao wa kike...
Na unapo mchukia mtu acha kueneza sumu hiyo kwa wengine na kuijumuisha hiyo sumu na jamii nzima anayo tokea mtu huyo.
Na fahamu familia nying za kijita ambazo wanaishi baba, mama na watoto.
Nakuunga mkono mkuu hao watu wanawezana wao kwa wao tuNyinyi na jamii zenu wote hamjawahi kuwa na mazuri hata siku moja, ni watu wachonganishi mno sijawahi kuona, wasengenyaji mnoo. Nimeishi na nyie muda mwingi mno itoshe kusema tu ninyi mnawezana nyie kwa nyie. Wabaya sana nyie watu
πππila anapotezwa
Jide Mzanaki sio mjitaNaunga mokono hoja kwa kurefer ndoa ya Captain G na Commando Jide
Wote wa hukohuko Wakuria,Wajita,ZanakiJide Mzanaki sio mjita
πππwalivyo achana tukachinja mbuzi
πππkwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao
Wapi?Hii ni kweli,nimeishuhudia.
Hapa nimekupata hii ni noma sana,Kwa mkoa wetu Wa Mara oa makabila yeyote Ila wajita usiguse muache kabisa wanajuana wao kwa wao...
NB; WANAROGA kise#n#gE
Watakwambia Wakinga, Wabena, na watu wote wa Jamii ya hukoSasa ni kabila gani sahihi maana kila tunapogusa ni motoooo [emoji95][emoji95]
MmmhJaribu wahaya πππ
Baba mmojaKwa hiyo wamachame na wajita ni mapacha sio ?
Ongezea na Wazanaki, Wangoreme, Wasuba, Waikizu, Waisenye, Waikoma, Wakwaya, Waluli, Washashi, Wanata na Wasweta bila kuwasahau ndugu zako Wajaluo (hapa nilitoka ndugu) wanasema ana mapepoNaona mleta uzi kakataliwa na binti wa kijita kaamua kuja kulichafua kabila zima
Mimi ni mjita ila ulichoeleza ni uongo mkuu