Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Wajita hatuna mazuri mkuu? hasa hao wa kike...

Na unapo mchukia mtu acha kueneza sumu hiyo kwa wengine na kuijumuisha hiyo sumu na jamii nzima anayo tokea mtu huyo.
Na fahamu familia nying za kijita ambazo wanaishi baba, mama na watoto.
 
Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.

Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.

Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.

Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.

Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia

Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Acha au punguza kabisa chuki mkuu. Kueneza mabaya mtu mlieshindwana sio uungwana

Tabia za mtu mmoja/familia sio tabia za kila mtu ndani ya kabila/familia
 
Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.

Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.

Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.

Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.

Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia

Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Huyo wajita hawana mazuri au huyo mjuta hana mazuri ?
 
Wajita hatuna mazuri mkuu? hasa hao wa kike...

Na unapo mchukia mtu acha kueneza sumu hiyo kwa wengine na kuijumuisha hiyo sumu na jamii nzima anayo tokea mtu huyo.
Na fahamu familia nying za kijita ambazo wanaishi baba, mama na watoto.
Nyinyi na jamii zenu wote hamjawahi kuwa na mazuri hata siku moja, ni watu wachonganishi mno sijawahi kuona, wasengenyaji mnoo. Nimeishi na nyie muda mwingi mno itoshe kusema tu ninyi mnawezana nyie kwa nyie. Wabaya sana nyie watu
 
Nakuunga mkono mkuu hao watu wanawezana wao kwa wao tu
 
Naona mleta uzi kakataliwa na binti wa kijita kaamua kuja kulichafua kabila zima

Mimi ni mjita ila ulichoeleza ni uongo mkuu
Ongezea na Wazanaki, Wangoreme, Wasuba, Waikizu, Waisenye, Waikoma, Wakwaya, Waluli, Washashi, Wanata na Wasweta bila kuwasahau ndugu zako Wajaluo (hapa nilitoka ndugu) wanasema ana mapepo
 
Back
Top Bottom