Sijawahi kuona mpare mwenye mitakoNilidhani wanafuata hii mitako ya kipare
😂😂😂 Watu wanasaga kunguniChuki na roho mbaya ni asili ya mtanzania kama unamchukia MTU we mchukie inatosha sio kuwaambia watu wote wamchukie
😂😂😂Yes ndio zao na hapo ukisogea karibu yake ana punguza sauti au anakata kabisa simu ila ukitoka sasa unawekwa mezani wanaunga conference ukoo mzima wana jadili namna ya kukupuna vizuri na kukuendesha
Wajaluo 😂Duuh baada ya Wachaga, Waha sasa ni Wajita......gues who is next
Hapa nimekuelewa vizuri sana kuna binti mmoja wa kimasai hivi na wamasai tuwaache waoane wenyewe na wahadzabe je tuwaache waoane wenyewe? Nasikia hawa hua wanajenga boma alafu wanaarika mume wakimuona namna gani wanamtimua wanaingiza mwingine kwa boma Ila Wajaluo ni funiko na Wapare ni ving'ang'anizi hata akufume red handed hakuachii (hapa ushahidi ninao)Ni rahasi sana kuitambua tabia ya mwanamke kwa kumwangalia macho na lipsi zake wakati anaongea
Hivi kuna wamama wa kijita viongozi Serekalini? Maan sio kwa kuwasagia kunguni hivi inamaana na wao wanaliwa na vijanamama wa kijita miaka 55 ila anatembea na vijana wadogo anaishi kama msimbe
Wajita na ngono alafu ngono na wajita, hawauzi kweli hawa?kwa kupenda ngono ni vinala
😂😂😂 Sio wajita tu wanawake almost makabila yote hawapendi ndugu wa mume au mume awe karibu na ndugu zake labda uoe Mmalawi au Mnyasana hawapendi uwe na mahusiano mazuri na ndugu zako
😂😂😂 Bure au na hela?Utaishia kuolea mtaa kwasababu ni wagawaji sana
Mbwaimbwai Bibi katema BungoHata sikuelewagi ni kama vile una kisa na mimi, mara nyingi nakupuuzia lakini acha leo nikujibu
Wewe ndo una akili za kushikiwa kwa kudhani watu humu tupo serious sanaaaa na maisha vingine tunachangamsha genge.
Endelea kubaki na Ujinga wako.
Sikuwahi kuyasikia haya makabilaOngezea Wangoreme, Wasuba Waisenye, Waikoma, Wakwaya, Waluli, Wanata na Wasweta
Wapo ukienda Musoma hayo ni machache yapo mengi 30+ makubwa na madongo madogoSikuwahi kuyasikia haya makabila
Hivi kuna wamama wa kijita viongozi Serekalini? Maan sio kwa kuwasagia kunguni hivi inamaana na wao wanaliwa na vijana
Angalia ushuhuda wa watu wengine pia usizani nimeleta uzi bila researchAcha au punguza kabisa chuki mkuu. Kueneza mabaya mtu mlieshindwana sio uungwana
Tabia za mtu mmoja/familia sio tabia za kila mtu ndani ya kabila/familia
Kwa hio Mwanamke wa kijita ni wa kumla na kwenda Ila sio kuoa? Na kurogwa je?Sana wanaliwa balaa unakuta wanazunguka na mikoba wapo full kila kitu alafu wengi ni manesi na walimu na hawana waume
Cha msingi ukisha jichanganya kwa mjita imekula kwako.Kwa hio Mwanamke wa kijita ni wa kumla na kwenda Ila sio kuoa? Na kurogwa je?
Kwa hio unawaambiaje vijana wale au wasile?Cha msingi ukisha jichanganya kwa mjita imekula kwako.
Hapa ni mtu kaangukiwa na kitu kizito basi akaona amwage nyongo. Waswahili walisema ukiumwa na nyoka, hata ukiona ujani unashtuka.Hisia tu Kama vile unamchukia mtu kisa ana hela kukuzidi. Fanya research ya wajita wote utoe data statistically na sio uongee uaminike eti jua ndilo linalozunguka dunia.
Tupe wastani, tofauti,variance, standard variation , maximum and minimum.
Tupe mean sample and population mean
Kula at your own risk kwasababu unaweza ukanasa mazima ao wa madawa makali sanaKwa hio unawaambiaje vijana wale au wasile?