Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 633
- 1,256
Mkuu umetema madini yote. Nilikuwa na Likwaya yaani tabia hizo hizo kama Wajita. Sio wa kuoa hao hawafai kabisa kabisa. Vijana huu ushauri mzuri sana kuweni makini na haya Makabila.Yes ndio zao na hapo ukisogea karibu yake ana punguza sauti au anakata kabisa simu ila ukitoka sasa unawekwa mezani wanaunga conference ukoo mzima wana jadili namna ya kukupuna vizuri na kukuendesha
uyo mjita ni msabato mkuu?Mkuu hakuna tofauti, me nimepanga kwa msukuma mmoja hapa mwanza mkewe ni mjita yani huyu dada ni kiburi hatari
huyu nagegeda napita kushoto.. sema wana k tamu mixer kuikatikia wako vizuri.Kama ni kugegeda tu kisha unatembea hakuna shida mkuu; tatizo ni kama utamuoa huyo kirusi wako unayegegeda.
waoane wenyeweEndelea wanalia vizuri sana kwenye mapenzi ila aliyosema yote mleta mada ni halisi wajita ni mtihani sana angalau ujanani unaweza mmudu ila nguvu zikipungua kazi utakuwa nayo tena kubwa sana
Pure yani kila jumamosi hakosi ibadani ila ni kiburi ana dharau, mwizi yaani kimwonaga anaenda kanisani yani najichekea mwenyeweuyo mjita ni msabato mkuu?
so apo kulitaalamu tunasema mwenye mke kaisha hahahaPure yani kila jumamosi hakosi ibadani ila ni kiburi ana dharau, mwizi yaani kimwonaga anaenda kanisani yani najichekea mwenyewe
Jamaa hana say kabisa kwa huyu dada,alichofanikiwa ni kumzalisha kama mwehu tu watoto kama woteeeso apo kulitaalamu tunasema mwenye mke kaisha hahaha
Atakae sikia na asikie mkuuMkuu umetema madini yote. Nilikuwa na Likwaya yaani tabia hizo hizo kama Wajita. Sio wa kuoa hao hawafai kabisa kabisa. Vijana huu ushauri mzuri sana kuweni makini na haya Makabila.
Wanaenda sana kanisani lakini ni wachawi balaa 🤣Pure yani kila jumamosi hakosi ibadani ila ni kiburi ana dharau, mwizi yaani kimwonaga anaenda kanisani yani najichekea mwenyewe
Ila huko Musoma Mjini wenyeji na wenye mji ni Wakwaya. Hao unaowaita Wajita ni wakuja tu. Pia kuna Waruri ambao wanaishi sehemu hizo. Wajita wanatoka nje ya Mji huo. Tatizo ni kwamba kwa vile Wajita wanafahamika zaidi basi mzigo wote wa watu waliopo Musoma Mjini wanabebeshwa wao. Fanya uchunguzi zaidi utagundua ukweli huo.Mfano, nenda msoma mjini....nyumba nyingi za wenyeji (wajita) zinawajane.
Kuna ukweli flani, usipuuze
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Mtoa mada anazungumzia kinadada wa Kijita. Mkoa wa Mara una makabila kiasi cha 20 au zaidi ya hapo. Kuna Waikizu, Washashi, Wajita, Wakwaya, Waruri, Wakurya, Waikoma, Wanata, Wasimbiti, Wangoreme, Wakiroba, Waisenye, Wazanaki, Wasuba, Wasizaki, Wajaluo, Wakerewe, Wasukuma, Wataturu, Wasweta na wengineo. OKW naona umejikita kwenye Wakurya. Kwa mtaji, huu naona watu wataanza kuogopa mabinti wote watokao Mkoa husika Ila sijui kama kwa kufanya hivyo watawatendea haki wote watokao huko.Hata wadada wa kikurya naona wana matatizo. Kama hujamchunguza kwa ndani huwezi kuona. Sometimes naona bora nioe kabila langu tu ujinga wetu tunajuana wenyewe kuliko kufanyiwa ujinga mpya
Hapana si mitako ya Wapare kama unavyodhani. Wajita wengi ni Wasabato (SDA). Kinachowakutanisha na Wapare ni kuwa wana imani moja kwani Wapare wengi pia ni Wasabato.Kumbe ndio maana wajita wengi wanakuja kuoa upareni!!!!
Nilidhani wanafuata hii mitako ya kipare kumbe kwao kunawaka Moto.
Unajidanganya tu mwanamke wa kijita ili akuone mzuri labda ukubali kupelekeshwa nae yani awe kama yeye ndio amekuoa atoe maamuzi yeye na mama yake awe na nafasi ya kuamua mambo kwenye nyumba yako lakini tofauti na hapo watasubili ujenge nyumba wakuue tena wana tabia ya kupenda ujenge kwao ili wakisha kuua nyumba inabaki huko na hawapendi uwe na mahusiano mazuri na ndugu zako kwaio choose wisely
Ukweli ndio huo, wajita ni hatariiiii ogopaaaaaa! Me najaa hapa Kijiji Chao kimoja kinaitwa Rusoli, Wilaya ya Musoma vijijini, Kila nyumba utaambiwa ni wachawi, usikae nao na huyo anaekuambia utaambiwa yeye ndio balaa, na wanapenda ngono ni hatariiiii, ogopaaaaaakabila
Wa kusikia na akusikie mkuu ogopa sana wajita ukioa unakua umeolea mtaa mzima na utalishwa madawa mpaka ukome.Ukweli ndio huo, wajita ni hatariiiii ogopaaaaaa! Me najaa hapa Kijiji Chao kimoja kinaitwa Rusoli, Wilaya ya Musoma vijijini, Kila nyumba utaambiwa ni wachawi, usikae nao na huyo anaekuambia utaambiwa yeye ndio balaa, na wanapenda ngono ni hatariiiii, ogopaaaaaa
Bado mtoa mada yuko sahihi kwa hao wajita ukiachilia mbali makabila mengine kutoka mkoa wa Mara,Mtoa mada anazungumzia kinadada wa Kijita. Mkoa wa Mara una makabila kiasi cha 20 au zaidi ya hapo. Kuna Waikizu, Washashi, Wajita, Wakwaya, Waruri, Wakurya, Waikoma, Wanata, Wasimbiti, Wangoreme, Wakiroba, Waisenye, Wazanaki, Wasuba, Wasizaki, Wajaluo, Wakerewe, Wasukuma, Wataturu, Wasweta na wengineo. OKW naona umejikita kwenye Wakurya. Kwa mtaji, huu naona watu wataanza kuogopa mabinti wote watokao Mkoa husika Ila sijui kama kwa kufanya hivyo watawatendea haki wote watokao huko.