Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Yeah ndio zao izo wanaume wengi wamefanywa kua wanawake yani wana tawaliwa balaa kwasababu wanawekewa madawa na wanasahau kwao kabisa
 
Wewe nenda kaoe huko kisha yakishakupata ndio uje na
standard variation , maximum and minimum na mean sample yako
 
Bila kusahau misimamo yao,nilishawahi kudate na binti wa kijita,nikamkatia tiketi ya ndege aje dar,sasa kutokana na mimi siku hiyo nilikua na shughuli bagamoyo nikamwambia sitaweza kukupokea airport naomba ukifika tutakutana nyumbani naweza chelewa kurudi,Akamind ndege ilikua inapitia kilimanjaro akashuka akarudi mwanza,nilimpiga chini siku hiyo hiyo,
 
Safi kabisa yani hao ni kama wale mufilisi yani hawawazi ni hasara kiasi gani mtu anaweza kuingia kutokana na matendo yao kwaio nikua makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…