proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Hakuna sehemu salama Mura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ivyo mkuu atakae sikia itamsaidia na atakae kua Tomaso ni juu yake na maisha yakeWaliosikia wamesikia
Nenda kwenye makanisa ya kisabato alafu muda wa michango simama uchangie pesa ndefu kisha tulia baada ya wiki msimbe mmoja kanisani lazima utampenda kwasababu utavutwa tuNatafuta demu wa kijita
Yeah ndio zao izo wanaume wengi wamefanywa kua wanawake yani wana tawaliwa balaa kwasababu wanawekewa madawa na wanasahau kwao kabisaDah mkuu yani hapo kwenye ushirikina hawa wanawake ni habari nyingine kabisaaa...mimi kwakweli ni shuhuda hapa.
Tena usiombe mwanaume uwe na pesa. Yani atakachokifanya kwanza ni kukupiga madawa ww uwe mama yeye awe baba kisha anafuata na kukutenganisha na wanao(hapa uombe tu watoto wakue wajielewe) baada ya hapo anafanya makolokolo muachane kisha mnagawana mali anakuacha ufe na presha zako.
Wewe nenda kaoe huko kisha yakishakupata ndio uje naHisia tu Kama vile unamchukia mtu kisa ana hela kukuzidi. Fanya research ya wajita wote utoe data statistically na sio uongee uaminike eti jua ndilo linalozunguka dunia.
Tupe wastani, tofauti,variance, standard variation , maximum and minimum.
Tupe mean sample and population mean
Yes kama anataka kuamini aende akaoe ndio atapata majibu vizuriWewe nenda kaoe huko kisha yakishakupata ndio uje na
standard variation , maximum and minimum na mean sample yako
Dadavua kidogo mkuuHata wadada wa kikurya naona wana matatizo. Kama hujamchunguza kwa ndani huwezi kuona. Sometimes naona bora nioe kabila langu tu ujinga wetu tunajuana wenyewe kuliko kufanyiwa ujinga mpya
Ni wachawi balaa ni waigizaji wazuri sana unakuta wanajaa makanisani ila wanarogana uko uko makanisani na kusengenyanaHawa wajita hata wana imani sana za kishirikina na kuwekeana sumu kwenye misosi ni mabingwa
C:imali wasu mubhwire bhukweli asige kuyeka bhumumu bhwae ku mutweYego mwana wa lata,amasango ganu wamagasosya aki?
Wenda eswe abhasigaji chitwalane abhene?
Yegoooo siga ubhumumu go!
Jaribu wahaya 😀😀😀Sasa ni kabila gani sahihi maana kila tunapogusa ni motoooo [emoji95][emoji95]
Nawafahamu nilishawahi kukaa huko, tabiazao ndio hizo japo sijafanya research lakini uliyosema yanaukweliNdio ivyo mkuu atakae sikia itamsaidia na atakae kua Tomaso ni juu yake na maisha yake
AffirmativeNawafahamu nilishawahi kukaa huko, tabiazao ndio hizo japo sijafanya research lakini uliyosema yanaukweli
Safi kabisa yani hao ni kama wale mufilisi yani hawawazi ni hasara kiasi gani mtu anaweza kuingia kutokana na matendo yao kwaio nikua makiniBila kusahau misimamo yao,nilishawahi kudate na binti wa kijita,nikamkatia tiketi ya ndege aje dar,sasa kutokana na mimi siku hiyo nilikua na shughuli bagamoyo nikamwambia sitaweza kukupokea airport naomba ukifika tutakutana nyumbani naweza chelewa kurudi,Akamind ndege ilikua inapitia kilimanjaro akashuka akarudi mwanza,nilimpiga chini siku hiyo hiyo,