Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
- Thread starter
- #81
Ndio ivyo mkuu hawa viumbe wa kijita ni wa kuogopa alafu wavivu balaaNimekuelewa hapo kwenye kila mtoto na baba yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ivyo mkuu hawa viumbe wa kijita ni wa kuogopa alafu wavivu balaaNimekuelewa hapo kwenye kila mtoto na baba yake.
Unataka umuache mjita wako kisa thread ya huyu jamaa sio wote wako ivyo yeye yamemkuta ana conclude kabila zima ,si ushamba huo
Sikupingi mkuu,kwa uvivu tu hawajambo,ila wanajitahidi kupata watoto wa baba tofauti tofauti[emoji3]Ndio ivyo mkuu hawa viumbe wa kijita ni wa kuogopa alafu wavivu balaa
😂😂 Yani yanaboa balaa watoto watano kila mtoto na baba yake alafu wachafu balaa ata kupika wengi ni zero hawajui kiukweli naomba vijana wawe makini sana ukizaa na mjita kwisha habari anatunza mtoto anaanza kudai matumizi unakuta anadai kwa wanaume wanne tofauti na hapo wote wamemlipia mahari alafu ua hawapendi upande wa baba za watoto yan kila jambo utaskia mbio kwa wajomba tena hasa ukute baba yao alikua wa kabila tofauti na la kwao yan wanamuua chap na usiombe ukawa na mali nyingi ndio wanakuwasha mapema ahela unakuta nyumba wapo wanawake watatu kila mwanamke na watoto wake wanne alafu awawazi na wanapenda kuhudhuria misiba na sherehe mbalimbali 😂😂 basi wakitoka huko ni mwendo wa kuwateta wafiwa tu aseeee wajita hapana.Sikupingi mkuu,kwa uvivu tu hawajambo,ila wanajitahidi kupata watoto wa baba tofauti tofauti[emoji3]
Uko sahihi asilimia mia moja.Yalinikuta makubwa ndoa ilidumu Kwa wiki moja tu.Nasasa nina miaka 6 nimeshamsahau mwanamke yule wa kijita.I second youWajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.
Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.
Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.
Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.
Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Wana pusi tamu sana wanawake wa kijita ila tabia zao ni ulozi na umalayaYego wasu wenda kuaika chinuki go!
Awe wenda kwaika anye umwana wa Malima nitakwenda akagasi kalya akatoto akelafuru go!
Yegooooo,sigakwaika chinu mwana wa sengi
Sasa ukisema hivyo hutaoa kabisa ,maana wachaga wauaji na viburi ,ubabe ,roho mbaya ya ubinafsi ,wahaya - uMalaya , wanyakyusa roho mbaya na viburi , wasukuma ushamba + uchafu na kuendekeza undugu ,wakurya na wajaluo - viburi na ubabe maha - uchafu , makabila ya pwani - uvivu ,mdomo na umbea , nk sijui utaoa kabila ganiUmegusa kwenye mshono yani ndio tabia yao tafadhali vijana kuweni makini sana mjita sio mwanamke wa kuoa
Mkuu vipi wakerewe na wakara ,tabia zao vipi ?Achana nae uyo akaolewe na wajita wenzake atakuja kukua uyo nakwambia ukweli kabisa utaingia kwenye matatizo makubwa sana tunza hii comment utanijulisha yakifika shingoni
Maana hayo makabila ya kanda ya ziwa huku kwetu hasa wajita ,wakara na wakerewe ni kama mapacha ,hata lugha zao wanasikilizana vizuri sana ,mithili ya wakurya na wazanaki ,au wanyamwezi na wasukumaAchana nae uyo akaolewe na wajita wenzake atakuja kukua uyo nakwambia ukweli kabisa utaingia kwenye matatizo makubwa sana tunza hii comment utanijulisha yakifika shingoni
Kumbe weye wa kike😀na sisi wakike tukipata wajita je? tukimbie au tukae hapo?
Unawaogopa wajita , je wanawake wajaluo na roho zao nyeusi ? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mi huwa nahisi nawaogopa tu sijui kwanini...?
Au wapare je ?Mi huwa nahisi nawaogopa tu sijui kwanini...?
Kwa hiyo tuseme ,wajita na wamachame au wapare ni mapacha sio ?Mfano, nenda msoma mjini....nyumba nyingi za wenyeji (wajita) zinawajane.
Kuna ukweli flani, usipuuze
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Wanatembeza nyuchi sana ,ndio vijana wengi wanazama na kupotezwa na hizo nyuchi za wanawake wa kijitaSikupingi mkuu,kwa uvivu tu hawajambo,ila wanajitahidi kupata watoto wa baba tofauti tofauti[emoji3]
Malaya mbwa piA ni watelekezaji wakubwana sisi wakike tukipata wajita je? tukimbie au tukae hapo?
Sasa wajita wanawakimbia wajita wenzao wanakimbilia wapare si kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi ?Kumbe ndio maana wajita wengi wanakuja kuoa upareni!!!!
Nilidhani wanafuata hii mitako ya kipare kumbe kwao kunawaka Moto.