Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Huu sio ushamba nimeamua kuweka hii Thread ili niwaokoe vijana wengine wasije wakaishia kuoa wanawake wa kijita kisha wakaja kujuta badae
Unataka umuache mjita wako kisa thread ya huyu jamaa sio wote wako ivyo yeye yamemkuta ana conclude kabila zima ,si ushamba huo
 
Sikupingi mkuu,kwa uvivu tu hawajambo,ila wanajitahidi kupata watoto wa baba tofauti tofauti[emoji3]
😂😂 Yani yanaboa balaa watoto watano kila mtoto na baba yake alafu wachafu balaa ata kupika wengi ni zero hawajui kiukweli naomba vijana wawe makini sana ukizaa na mjita kwisha habari anatunza mtoto anaanza kudai matumizi unakuta anadai kwa wanaume wanne tofauti na hapo wote wamemlipia mahari alafu ua hawapendi upande wa baba za watoto yan kila jambo utaskia mbio kwa wajomba tena hasa ukute baba yao alikua wa kabila tofauti na la kwao yan wanamuua chap na usiombe ukawa na mali nyingi ndio wanakuwasha mapema ahela unakuta nyumba wapo wanawake watatu kila mwanamke na watoto wake wanne alafu awawazi na wanapenda kuhudhuria misiba na sherehe mbalimbali 😂😂 basi wakitoka huko ni mwendo wa kuwateta wafiwa tu aseeee wajita hapana.
 
Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.

Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.

Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.

Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.

Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia

Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Uko sahihi asilimia mia moja.Yalinikuta makubwa ndoa ilidumu Kwa wiki moja tu.Nasasa nina miaka 6 nimeshamsahau mwanamke yule wa kijita.I second you
 
Tuanzie hapa, wewe ni kabila gani?

Ukijibu hili litasaidia mengi saaana...

Na asilimia 99 hautajibu hili swali.
 
Umegusa kwenye mshono yani ndio tabia yao tafadhali vijana kuweni makini sana mjita sio mwanamke wa kuoa
Sasa ukisema hivyo hutaoa kabisa ,maana wachaga wauaji na viburi ,ubabe ,roho mbaya ya ubinafsi ,wahaya - uMalaya , wanyakyusa roho mbaya na viburi , wasukuma ushamba + uchafu na kuendekeza undugu ,wakurya na wajaluo - viburi na ubabe maha - uchafu , makabila ya pwani - uvivu ,mdomo na umbea , nk sijui utaoa kabila gani
Wanawake wa kitz makabila yote ndio hayo mapungufu yao hayo
 
Achana nae uyo akaolewe na wajita wenzake atakuja kukua uyo nakwambia ukweli kabisa utaingia kwenye matatizo makubwa sana tunza hii comment utanijulisha yakifika shingoni
Maana hayo makabila ya kanda ya ziwa huku kwetu hasa wajita ,wakara na wakerewe ni kama mapacha ,hata lugha zao wanasikilizana vizuri sana ,mithili ya wakurya na wazanaki ,au wanyamwezi na wasukuma
 
Back
Top Bottom