Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Hii kweli kabisa, mfano mwanamke ukampenda mwanaume kwasababu ya pesa zake au mali wakati wa sex humfeel ni ukavu wa jangwa la sahara, Ila yule mwanaume Unayemfeel hata mkichat tu hisia zinapanda achilia mbali kuonana Sasa ndo kabisa.
 
N A K A Z I A [emoji419]
 
mwanamke hata awe na sura nzuri au mbaya (kwa macho ya kibinadamu), unatakiwa kuoa yule anayekupenda zaidi ya wewe unavyompenda. usije kujaribu kuoa mwanamke ambaye wewe ndio unampenda zaidi, yeye anatakiwa kukupenda zaidi ya wewe unavyompenda. hapo utaishi vizuri. ila ukifanya hivyo vinginevyo nakuhakikishia lazima utakuja uchanike moyo siku moja. namshukuru Mungu nilifanikiwa kuoa mwanamke anayenipenda sana mimi kuliko vile mimi nilivyompenda, amenivumilia kwa mengi na mwisho wa siku tukaja kuendana, sasa tunapendana sawasawa na ndoa ni nzuri sana. kuna kaka yangu mmoja yeye alioa mwanamke mzuri sana na ana PHD, ila mwanamke hampendi sana, yeye brother ndio anampenda zaidi. ajabu yake, mwanamke pamoja na kwamba wamezaa watoto kadhaa, yupo tayari kuachana naye kama brother akiamua, na bro hayuko tayari kumwacha kwa jinsi anavyompenda hadi leo, hiyo sasa imekusa silaha/fimbo ya kumburuza, anamburuza bro apendavyo. kwasababo bro ndio anayejibembeleza kwake.
 

Tukiwaambia vijana wanajifaragua , ni too dangerous kuoa mwanamke ambaye hana Hsia na ww , kisa tuu unampa Mihela na caring , uspofanya hvyo anazingua , hata kama Una hela za kumiliki bank huyo mwanamke usioe , labda kama kusex Tu na kuachana , Ila kumuoa , aisee hakuna rangi utaacha kuona ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…