Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Aisee hii kitu ni muhimu sana karibu na makambi ya jeshi, vyuo vikuu. Kuna lodge(vyumba kumi na mbili) pale mwenge wanajeshi wanajaaa kila kukicha. Mwenye nao analaza laki nne mpaka laki tano kwa siku.Kwangu Mimi lodge ni nzuri zaidi ukipatia location tofauti na nyumba za makazi!
Mimi MarkmugaAchana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi Kama huu unachagua sehemu ya kwenda vacation na huna stress.
Uzi tayari.
NB: Uzi huu nawashauri vijana. Vijana wanaopata pesa nyingi mara nyingi wanatumia hela zao wakifikiri maisha yataendelea hivyo milele. Wewe unaefikiri naandika kwasababu ndio nimeanza kujenga,kalaghabao.
Ngoja niliweke hiki sawa. Hapa sizungumzii mtu anaetafuta hela ya kula au anaejitafuta. Ndio maana nimetumia kauli vijana kama pesa ipo. Hii ni kwa mtu ana kipato chake kutoka anapopajua huu ni uwekezaji wa muda mrefu ndio maana pia nikamention ten units.Mwisho wa siku, haya mambo yanategemea muunganiko kati ya personality ya mtu na falsafa yako kwenye mambo unayoyapenda kwenye maisha.
Ndo mana hapa, wewe umesema nyumba za kupanga, mwingine anasema lodge.
Mimi ukiniuliza, nitakuambia, kuliko uwekeze milioni 70 kwenye nyumba za kupanga, ni bora uwe na mini factory ya kusaga na kuuza unga kwenye jiji kama Dar es salaam lenye high demand.
Hapo sawa, maana yake kujenga majengo inakuwa kama kuwekeza excess cash itokanayo na biashara, hiyo ni sawa, imekaa vizuri.Ngoja niliweke hiki sawa. Hapa sizungumzii mtu anaetafuta hela ya kula au anaejitafuta. Ndio maana nimetumia kauli vijana kama pesa ipo. Hii ni kwa mtu ana kipato chake kutoka anapopajua huu ni uwekezaji wa muda mrefu ndio maana pia nikamention ten units.
Kuhusu mashine sijui za kusaga hata mimi siwezi kufanya biashara hio nina biashara nyingine nzuri na kubwa.
mkuu ni tag kwenye hilo jukwaa la garage na magariKutokana na mchango wako kule jukwaa la garage na magari sina cha kupunguza wala kuongeza nimelibeba kama lilivyo.
Lodge nyingi waajiriwa huzigeuza kuwa madanguro ya siri siri.Kwangu Mimi lodge ni nzuri zaidi ukipatia location tofauti na nyumba za makazi!
We got you bro👍👍👍Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi Kama huu unachagua sehemu ya kwenda vacation na huna stress.
Uzi tayari.
NB: Uzi huu nawashauri vijana. Vijana wanaopata pesa nyingi mara nyingi wanatumia hela zao wakifikiri maisha yataendelea hivyo milele. Wewe unaefikiri naandika kwasababu ndio nimeanza kujenga,kalaghabao.
Yeah hiki ndicho nilichomaanisha. Na si biashara tu kuna vijana wameajiriwa wana hela nyingi tu za ziada tunawaona huku mtaani.Hapo sawa, maana yake kujenga majengo inakuwa kama kuwekeza excess cash itokanayo na biashara, hiyo ni sawa, imekaa vizuri.
Mkuu nikukumbushe tu kinachopanda thamani sio jengo ni ardhi.ukijenga nyumba ya 50 m kwa miaka 8 ndo utarudisha hiyo milion 50. lakini pia umesahau baada ya hiyo miaka nane ile nyumba badi utakua nayo na thamani yake itakua imeongezeka, mfano milioni 80 au 90. so baada ya miaka nane utakua umepokea kodi ya milioni hamsini na pia ukisema uuze nyumba milion 90 utakua umepata jumla milion 130. ila kama ulinunua viwanja 12 kwa milioni hamsini ukiviuza vyote utakua na milion 120. so bado nyumba itakua na thamani kuliko viwanja
Mkuu hatuwezi ku afford kama zako apartments na Condos obey, msasan na Masaki.Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi Kama huu unachagua sehemu ya kwenda vacation na huna stress.
Uzi tayari.
NB: Uzi huu nawashauri vijana. Vijana wanaopata pesa nyingi mara nyingi wanatumia hela zao wakifikiri maisha yataendelea hivyo milele. Wewe unaefikiri naandika kwasababu ndio nimeanza kujenga,kalaghabao.
ardhi na nyumba vyote vinapanda thamani, kwa nyumba ambayo utajenga kwa milioni hamsini ni ya kisasa, ukikaa miaka nane nyumba hiyo pia thamani yake lazima iongezeke, sababu bei ya tofali au cement leo na miaka nane iliyopita ni tofautiMkuu nikukumbushe tu kinachopanda thamani sio jengo ni ardhi.
Na ndy maana mtu atanunuwa nyumba kwako na kesho anavunja na kujenga ingine.
Nguvu unayotumia kujengea wekeza ardhi itakulipa mara 10 .
na pia nyumba ambayo mtu annunua na kuvunja basi ni zile nyumba ambazo kwa sasa ni za kizamani yani tunailta old skuli, nyumba za miaka ya 90 huko sababu hiyo nyumba ya hivo kila kitu kimebadilika kulingana na technology ya fasheni ya ujenzi, ila nyumba ya miaka nane nyuma bado ni ya kisasaMkuu nikukumbushe tu kinachopanda thamani sio jengo ni ardhi.
Na ndy maana mtu atanunuwa nyumba kwako na kesho anavunja na kujenga ingine.
Nguvu unayotumia kujengea wekeza ardhi itakulipa mara 10 .
Ndy maana naeleza kuwa watu wanataka kiwanja na sio nyumba.na pia nyumba ambayo mtu annunua na kuvunja basi ni zile nyumba ambazo kwa sasa ni za kizamani yani tunailta old skuli, nyumba za miaka ya 90 huko sababu hiyo nyumba ya hivo kila kitu kimebadilika kulingana na technology ya fasheni ya ujenzi, ila nyumba ya miaka nane nyuma bado ni ya kisasa
Mkuu naomba kuulizaukijenga nyumba ya 50 m kwa miaka 8 ndo utarudisha hiyo milion 50. lakini pia umesahau baada ya hiyo miaka nane ile nyumba badi utakua nayo na thamani yake itakua imeongezeka, mfano milioni 80 au 90. so baada ya miaka nane utakua umepokea kodi ya milioni hamsini na pia ukisema uuze nyumba milion 90 utakua umepata jumla milion 130. ila kama ulinunua viwanja 12 kwa milioni hamsini ukiviuza vyote utakua na milion 120. so bado nyumba itakua na thamani kuliko viwanja
thamani ya nyumba ndani ya miaka nane pia inaongezeka kama umejenga nyumba ya kisasa..nyumba na kiwanja vyote vinaongezeka thamaniNdy maana naeleza kuwa watu wanataka kiwanja na sio nyumba.
Ukiwa nyumba ya miaka 8 na uwe na kiwanja kwa miaka 8 mwenye faida ni aliyekuwa na kiwanja..
Utauza kwa pesq kubwa kuliko uliyonunulia.
swali la kuanza kujiuliza hapa je kiwanja ulichokinunua kwa milion nne unaweza kukiuza kwa milioni kumi bada ya miaka nane?Mkuu naomba kuuliza
Hivyo viwanja utaviuza kwa miaka 8?
Sio ukiuza utanunua vingine halafu utauza tena
Halafu mtu alouza 120M leo thamani ya pesa itakua sawa na 130M ya baada ya miaka 8?
Nyumba kwa kipindi cha miaka 8 utakua umefanya maintenance mara ngapi? Ili iweze kubaki katika thamani yake?
Naomba ufafanuzi Mkuu ili kupata darasa.
Mkuu nyumba kadiri inavyozidi kukaa muda mrefu thamanithamani ya nyumba ndani ya miaka nane pia inaongezeka kama umejenga nyumba ya kisasa..nyumba na kiwanja vyote vinaongezeka thamani
Mkuu unaona pale kkoo?Mkuu naomba kuuliza
Hivyo viwanja utaviuza kwa miaka 8?
Sio ukiuza utanunua vingine halafu utauza tena
Halafu mtu alouza 120M leo thamani ya pesa itakua sawa na 130M ya baada ya miaka 8?
Nyumba kwa kipindi cha miaka 8 utakua umefanya maintenance mara ngapi? Ili iweze kubaki katika thamani yake?
Naomba ufafanuzi Mkuu ili kupata darasa.
Mkuu nyumba umejenga 100M.thamani ya nyumba ndani ya miaka nane pia inaongezeka kama umejenga nyumba ya kisasa..nyumba na kiwanja vyote vinaongezeka thamani