Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

Umeingia kwenye nafsi yangu na kuona nawasapoti? Kesho wakiamua na nguo nyeusi wavae wao, na keshokutwa wakaona na nyeupe inawafaa, wakawa wanafanya mzunguko wa kila rangi unataka kuniambia sasa inabidi nitembee mtupu ili nisiwasupport?
Sio rahisi jinsi ulivyoandika. Kubadilisha logo ya kitu ni process ndefu mapka dunia ikubali
 
Acha imani potofu ndugu watu wameumbwa na Mungu hivyo hivyo hauna haki ya kuwahukumu, na kumbuka kuna maovu kuzidi hayo bora ya yule ambaye kazaliwa yupo hivyo kuliko yule anayefanya maovu ambayo wala sio udhaifu wakuzaliwa nao.

sitetei maovu naongelea uhalisia
Hatuwabagui ila vitendo vyao hatuviungi mkono elewa hivyo. Hata matendo yao hayampendezi Mungu
 
Inshort nikiona kijana au mwanaume kavaa nguo yenye fashion ya hizo rangi, huwa namuona mseng* tena sana hata Salam sitak
 
View attachment 1890476
Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake.
Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja
lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ)
nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake. Nikajaribu kuuliza nikaambiwa lakini sikuamini.
View attachment 1890489
View attachment 1890490

Nilikuja kuthibitisha nilipoona kwenye EURO 2020 hapo ndio nikafanya uchunguzi zaidi na kupata jibu. Mtaani watu wanavaa kama Kawaida ila rangi hivi ukivalia ULAYA NA MAREKANI basi watajua ni mwanachama mwenzao au unaunga mkono vitendo ambavyo havijulikani kwa Mungu.
Kuna dogo wa shule za kata nilikutana nae kwenye Daladala, kaweka lesso kwenye mfuko wa shati kama urembo. Nikachukua simu nikapita google nikampa asome alichobeba. Hapo hapo alikitoa kwenye mfuko wa shati na kukitupa njeee

1628887696898.png
 
Bahati nzuri , hii ni kama lugha na mengine ya kitamaduni, tafsiri ya jamii moja si sawa na nyingine kwa kitu kilekile. Bundi ni ndege hatari sana kwenye jamii nyingi za Kiafrika. Huashiria mabalaa. Alionekana jengoni bungeni ikawa mjadala wa taifa, wakati uzunguni ndege huyu huhusishwa na bahati. Kama haitoshi, wazungu hutumia rangi nyeusi[vazi] msibani, sisi kwetu linahusishwa na mambo ya giza, rejea kaniki.

So, West si standard. Kila jamii ina standards zake.
 
Unaijua logo ya kwanza ya Apple lakini.. unataka na iPhone watu waache kutumia sio?..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
View attachment 1890476
Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake.
Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja
lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ)
nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake. Nikajaribu kuuliza nikaambiwa lakini sikuamini.
View attachment 1890489
View attachment 1890490

Nilikuja kuthibitisha nilipoona kwenye EURO 2020 hapo ndio nikafanya uchunguzi zaidi na kupata jibu. Mtaani watu wanavaa kama Kawaida ila rangi hivi ukivalia ULAYA NA MAREKANI basi watajua ni mwanachama mwenzao au unaunga mkono vitendo ambavyo havijulikani kwa Mungu.

Wayahudi weusi mko wapi?
 
Kwa mwendo huu wa series za netflix na nyimbo za singeli mixer mabata yasiyokuwa na mbele wala nyuma

Baada ya miaka 10......tutakuwa tunaongea mengine hapa africa
 
Kuna dogo wa shule za kata nilikutana nae kwenye Daladala, kaweka lesso kwenye mfuko wa shati kama urembo. Nikachukua simu nikapita google nikampa asome alichobeba. Hapo hapo alikitoa kwenye mfuko wa shati na kukitupa njeee

View attachment 1891462
Hii alama yenyewe kabisa, anawakilisha chama lao😀
 
Bahati nzuri , hii ni kama lugha na mengine ya kitamaduni, tafsiri ya jamii moja si sawa na nyingine kwa kitu kilekile. Bundi ni ndege hatari sana kwenye jamii nyingi za Kiafrika. Huashiria mabalaa. Alionekana jengoni bungeni ikawa mjadala wa taifa, wakati uzunguni ndege huyu huhusishwa na bahati. Kama haitoshi, wazungu hutumia rangi nyeusi[vazi] msibani, sisi kwetu linahusishwa na mambo ya giza, rejea kaniki.

So, West si standard. Kila jamii ina standards zake.
Naweza kukubaliana na wewe kama ukinipa tafsiri ya hiyo bendera yenye rangi sita kwa jamii yetu,ina maana gani? Au unataka kusema bendera ya Tanzania ina maana tofauti na anapoiona mtu wa jamii nyingine?

Kitu kinachoanzishwa na wazungu na kutambuliwa na UN kinaweza vipi kuwa maana tofauti na sehemu nyingine?
 
View attachment 1890476
Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake.
Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja
lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ)
nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake. Nikajaribu kuuliza nikaambiwa lakini sikuamini.
View attachment 1890489
View attachment 1890490

Nilikuja kuthibitisha nilipoona kwenye EURO 2020 hapo ndio nikafanya uchunguzi zaidi na kupata jibu. Mtaani watu wanavaa kama Kawaida ila rangi hivi ukivalia ULAYA NA MAREKANI basi watajua ni mwanachama mwenzao au unaunga mkono vitendo ambavyo havijulikani kwa Mungu.
Yani bonge la post. Mimi binafsi nimeona vijana kadhaa wakiwa wamevaa hizi rangi bila kujua wakidunda zao town.

Laiti wangejua. ...haha. ulaya na marekani dakika mbili huchukui. Ushatomgozwa [emoji23][emoji23]
 
Kabisa mkuu,wanajua kabisa ww ni mdau,huko kuna mpaka Lodge, Makanisa,mighahawa, hoteli zenye bendera hiyo wanajua kabisa hapa wasagaji na mashoga wanaruhusiwa.

Hata ukienda club ukakuta haina kuuliza
 
Naweza kukubaliana na wewe kama ukinipa tafsiri ya hiyo bendera yenye rangi sita kwa jamii yetu,ina maana gani? Au unataka kusema bendera ya Tanzania ina maana tofauti na anapoiona mtu wa jamii nyingine?

Kitu kinachoanzishwa na wazungu na kutambuliwa na UN kinaweza vipi kuwa maana tofauti na sehemu nyingine?
Kwanza, unapaswa kutambua kuwa ulimwengu si huo unaoujua wewe pekee. Kwahiyo, usidhani kile unachofahamu wewe ndiyo kanuni, hata kidogo. Aliyekwambia kila mtu anatambua hiyo ni bendera ni nani? Kwako inaweza kuwa bendera , kwa mwingine ni rangi tu kama rangi zingine, kaamua kuzipanga akavaa, akapaka nyumba yake ama vyovyote atakavyo. Kwake ikawa na ujumbe ama mguso tofauti kabisa.

Pili, kuwa inatambuliwa na umoja wa mataifa si tatizo na wala haifuti hoja yangu ya awali hapo juu. Kwani, mbona dhana yenyewe ya ushoga inatambuliwa na bado kuna ukinzani mkubwa kati ya taifa moja na lingine? Huu ni ushahidi kuwa tuna mitazamo tofauti ya ulimwengu na mambo yake. Kinachofanyika huwa ni kulazimishana, iwe kwa lengo zuri ama baya.

Zingatia
Ninaandika haya si kwamba sijui harakati za LGBTQ [ lesbian, gay, bisexual, transgender, and questioning (or queer)]. Na wala sipo hapa kupinga uwepo wao ama harakati zao. Ninafahamu vizuri, isipokuwa nakuonesha upande wa pili wa shilingi. Mimi ninakuonesha udhaifu wa hoja yako tu kwa kudhani hicho usemacho ndiyo ukweli wa dunia wakati haipo hivyo. Hatuwezi kumtafsiri kila mtu avaae T-shirt ya njano/nyekundu ni mchezaji/shabiki wa yanga/simba. Rangi hizi zipo duniani kote na kila mtu huvaa kwa namna anavyojisikia na kuitafsiri atakavyo. Hii hajalishi nani ameitumia.
 
Back
Top Bottom