2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
- Thread starter
- #61
Sio rahisi jinsi ulivyoandika. Kubadilisha logo ya kitu ni process ndefu mapka dunia ikubaliUmeingia kwenye nafsi yangu na kuona nawasapoti? Kesho wakiamua na nguo nyeusi wavae wao, na keshokutwa wakaona na nyeupe inawafaa, wakawa wanafanya mzunguko wa kila rangi unataka kuniambia sasa inabidi nitembee mtupu ili nisiwasupport?