Nitajidanganyaje? Urinary tract, vaginal canal, matundu tofauti hayo boss. Naelewa nachoandika. UTI ni tofauti na STI. Sijataka kuandika kitaalam sana tutakimbiana.Jidanganye mwenyewe
Unautaalam hata kidogo wa mambo communicable disease?
Kwa hiyo unataka kusema mara zote umekuwa ukitumia njia salama wakati unapelekwa moto, au unajishaua tu hapa!Mie nilikua nawaza km wee, ila kuna mdada ni Dr ndo alinielekeza kuna UTI inaambukizwa kwa unsafe sex pia.
UTI inaambukizwa kwa njia ya ngono . Nimeugua UTI kipindi nimechakata mbususu kadhaa . Baada ya hapo nimekuepo ni muoga kuchakata mbususu ovyo ovyoTusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
Wewe hii haikuhusu mkuu 😁😁😁Ahsanteeee kwa somoo Daktaree.
Kwa hyo wanawake tu ndo wana maradhi, Kuna wanaume wanatembea hadi na kichocho mdomoni.Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili
Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne Kama masihara Anachapa kavu dry na inamtoa Duniani UTI Sugu hawa wanawake sahivi wanaumwa San...
Unatakiwa uchome tatu, ya kwanza elfu 15 na zinazofuata elfu 10Kitu kama 30000 au 20000
Acha kudanganya wenzio.Kitu kama 30000 au 20000
Eeh, acha kabisa huo mchezo mara mojaInasababisha UTI?
Aisee, imekaba kila konaNi kweli UTI ni ugonjwa hatari unashambulia maeneo matatu njia ya mkojo, kibofu na figo. Kila eneo lina aina mahususi ya bakteria wanaoleta athari. Hatari huwa kubwa zaidi wakishambulia kibofu au figo njia za kupata UTI ni nyingi mfano kuingia kwa haja kubwa kwenye njia ya mkojo hasa wanawake na watoto wanaovalishwa diaper mnaita pampas, wanaojamiana kwenye njia ya haja kubwa pia matumizi ya vifaa vya kuzuia mimba, matumizi ya muda mrefu.ya antibiotic, kutokunywa maji kwa wingi, ukomo wa hedhi, matumizi ya catheter, kutokumalizika kwa mkojo baada ya kukojoa, kuwa kisukari, matumizi ya vyoo vichafu nk. So umakini uanzie hapa.
[emoji1787][emoji1787]Aisee.... Kumbe Kula kimasikhara inapelekea kufa kimasikhara
Muhim upige chanjo.Kwenye mwendokasi na daladala tutapona kweli?
Ndio nimetoka kuulizia chanjo yake, ila nimeambiwa mpaka nipimwe ngoma kwanza ndio mtihani sasa.Muhim upige chanjo.
Maajabu mbona mnatuchanganya!!Tusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
Kalpana tia neno hapa kuhusu UTI sugu...Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili
Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne kama masihara anachapa kavu dry na inamtoa Duniani UTI Sugu hawa wanawake sahivi wanaumwa Sana
Location huku Tabata Kuna hatari mpya watu wanakojoa wamechuchumaa watoto wa kiume kisa UTI Sugu.
Rip homies.
Ndo maana Mimi nimejiunga No Fap challenge kwanza Sina hela za kugharamia matibabu