Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

hv mtu mwenye connections, network, access anawezaje kuwa maskin kiasi cha kuvizia girls from royal families? kwa nn asivitumie hvyo vtu kuukimbia umaskin?
Kumjua mtu mwenye nguvu hakukufanyi uwe tajiri. Connection ni potential leverage, si utajiri wenyewe. Unaweza kuwa na network kubwa lakini ukakosa mtaji, position, ownership na access ya kuitumia/kubadilisha hizo connections kuwa wealth.

Mfano, unaweza kumjua mwenye kiwanda kikubwa, ukawa na namba yake na mkaongea vizuri, lakini hilo halikupi hisa kwenye kiwanda, mtaji wake wala mamlaka ya kutumia mali zake.


Hivyo ndoa au partnership yenye strategic value inaweza kubadilisha kiwango cha access na opportunities alizonazo.
 
sawa.
 
alafu pia hakuna royal family isiyo na connection hadi ije itafute connection kwa masikini.
Mkuu,
Kwanza kabisa hatuna uhakika kua ni nani Kati yao aliyemtafuta mwenzie, japo naamini mwanaume ndiye aliyemtafuta Binti.

Na kuhusu Royal Family, si kwamba wanamkubali mtu wa kawaida kwa sababu hawana connections. Wanazo. Hoja ni kwamba kila mtu anaweza kuwa na value tofauti. Mtu wa nje anaweza kuleta kitu ambacho hakipo kwenye inner circle yao talent, identity, cultural link, expertise, image au aina fulani ya access. Kwa hiyo kusema “Royal Family wana connections, hivyo hawana sababu ya kumhitaji mtu wa kawaida” ni sawa na kusema kampuni kubwa haiwezi kumhitaji mtu mpya kwa sababu tayari ina wafanyakazi wengi.

Sijui kama umenielewa maana naandika nikiwa nakunywa bia hapa. Kama nimeenda tofauti na maada utanisamehe.
 
Unajua kujieleza lakini unapungukiwa hekima! Hapo ndipo ujue elimu siyo kila kitu! Hapo juu pia umekosea kuuliza dini itakusaidia nini? Kumbuka dini ni imani, fikria kama kweli Mungu yupo na siku ya hukumu atasimama kukuhukumu hali itakuwaje? Na kwetu Wakristu hao wanaokimbia dini shauri ya kuoa wamemkana Yesu hadharani na yeye atawakana Siku ya hukumu hiyo ndiyo imani yetu Wakristu! Kwa hiyo hayo unawpa matumaini ya muda mfupi lakini pigo watalipata siku ya hukumu. Waombe sana mizimu yao hiyo kitu isiwepo!
 
Sema pisi mbovu ile! Faida ni nini ikiwa dogo anajiweza?
 
Binti mrembo wa Raisi ☕️☕️☕️😁
 
Kwanini wanawake huwa mnateseka sana pale sisi vijana wa kiume anapotokea mtu wa kutushika mkono? Kwanini huwa hampendi sisi tubwebwe kiuchumi either na wanaume wenzetu au wanawake wenzenu?
interesting
 
Baba unapiga utosini 😂
 
Aisee!
 
Umeuliza swali zuri snaa Kiranga yupo subjective na biased na maneno yake

Hashobokei watoto wa royal family kwa sababu na yeye kwao zipo which we cannot prove or disprove his claim . We assume alichosema ni sahihi

Swali la msingi ni kama angekua kwenye Oposite family, would he behave the same way?

Kwahiyo jamaa amepuyanga na hatuwezi ku judge his decisions maan zipo biased

Tatizo la Kiranga la Afya ya akili huwa linamfanya asiwe na sustainability kwenye discussion na kuona kashushwa hadhi mwisho anaishia kususa

Uzuri nimemsaidia kama specialist wake; nahisi hajawahi kuambiwa he is serious mental issue ….. Akiwa serious analiwahi Tatizo lake , Uzuri yupo USA therapiest nawajua wapo wengi ishu ni awe tayari kusaidiwa

Wasomi wengi na wavaa tai wengi now days wana afya ya akili

Msomeni Kiranga kwenye thread zake na reactions zake kwenye discussion: Mtagundua jamaa ni mental case hata kama hujasomea haya mambo
 
Usitake kulazimisha watu wote wawe kama wewe. Others were born to serve their fellow countrymen na sio kuwa matajiri.
 
 

Attachments

  • v1c044g50000db77q27og65nr0p6t4rg.mp4
    3.9 MB
Tatizo you are mentally disturbed . Upo reactive sana
Nilikupa diagnosis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…