Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu


Wamekufanyaje tena hawa vijana mkuu? Haya ya kwa mpalange we umejuaje wenyewe ndo mafundi? Kuna namna hapa wamekutenda hawa vijana
 
Kizazi cha 90 mitkasi yao kubwa ni usanii,uchawa tu
Watoto hao wote sahv wanataka wawe wakata mauno tu

Ova
 
Wamekufanyaje tena hawa vijana mkuu? Haya ya kwa mpalange we umejuaje wenyewe ndo mafundi? Kuna namna hapa wamekutenda hawa vijana
Haya mambo mi sipendagi kuyasema ila inabidi niyaseme tu... Juzi kunasehem nilikua napata kinywaji baridi mbele yangu Kuna kijana (naye ni wa 90) alikua ameketi,, Kuna muda alisimama Ili aongee na muhudumu ghafla nikaona kwenye suruali yake Kwa nyuma ameloa Kwa haraka sikutilia maanani kwasababu hayo mambo Miaka yetu hayakuwepo mi nilijua amekalia maji Kwa bahati mbaya, alivoketi Kuna jamaa nilikuwa naye akaamza kufunguka kwamba huyo kijana analiwa kisamvu na hapo mtaani wapo wengi sana walioharibiwa Kwa kupenda mteremko..kufupisha stori naomba niseme lengo la Hawa vijana wa 90 sio zuri wanatuharibia vizazi vijavyo
 
Yesu mwenyewe alikuja kwaajili ya wenye dhambi na hakubagua hata Makahaba kama Rahabu, Mleta mada asiingie huko Tinder na Badoo kufanya utafiti kwa lipi haswa?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Mnaowaharibu nini nyinyi wazee wa 60, 70, 80
 
Ebu Jifahaminishe kidogo na Historia..., Anzia kwenye Rolling 70's alafu nenda pale Rome ukutane Orgies zilizokuwa zinatokea alafu rudi ulizia bibi zako walikuwa wanaolewa au kuchumbiwa wakiwa na miaka mingapi ?

To each their own....; ukishaona unashangaa waliopo nyakati husika tambua umezeeka au kupitwa na wakati
 
Masiha aliyepita alikuwa na umri wa miaka 33.
Masiha anayefuatia atakuwa na umri wa miaka ishirini na tano.
Kwa hiyo it is intended kwamba vijana waosheshe njia ya kuondokana na matatizo yetu.
 
Kumbuka kwa sasa hata Wazee wanautamani Ujana, ndo maana wanatembea na visichana vidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…