Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Tuoe yanini na kaka zetu wa 80's wanachama chao cha kataa ndoa. Tusipowasapoti wanasema madogo tunadharau na kututisha kwamba kusikia kwa kenge mpaka damu zimtoke masikioni.Hamuoi pumbavu zenu mnahangaika na vibinti vya 2000s
Yesu mwenyewe alikuja kwaajili ya wenye dhambi na hakubagua hata Makahaba kama Rahabu, Mleta mada asiingie huko Tinder na Badoo kufanya utafiti kwa lipi haswa?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
SawaKizazi Cha 90 hakina faida Kwa nchi Bora kiondolewe
Kwahiyo hayo yanafanya na 90's tu? Sodoma watu walikuwa wanaenda kwa mpalange kama buzaSodoma na Gomora walikuwa wanapiga foursomes, kungonoka na wanyama au styles za popo kanyea mbingu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
We kizazi cha?.Kizazi Cha 90 hakina faida Kwa nchi Bora kiondolewe
AiseeeNadhani kazi kubwa ipo kwa 2000s, hapa shughuli ni pevu.
Sasa kwann unamtaja Yesu APA amefikaje πππππYesu mwenyewe alikuja kwaajili ya wenye dhambi na hakubagua hata Makahaba kama Rahabu, Mleta mada asiingie huko Tinder na Badoo kufanya utafiti kwa lipi haswa?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Itakuwa wamekuchukulia kabinti chako cha 2000sHamuoi pumbavu zenu mnahangaika na vibinti vya 2000s
Sasa tusivae nguo jmn tukae uchi, eti hawana kazi nzuri πππAiseee
Umeongea ukweli.
Hawa wa 2000s wanatrend na kila tukio.
Ule ujinga wa beach na swimming pool ni wao, akiwa boda boda ni hatari, wanaongoza kwenda massage parlors, hawaogopi polisi, wao ndo panya road, wanavaa vizuri na hawana kazi nzuri, wanajua sehemu nyingi za starehe kuliko za Ibada....
Kuna siku niliokota wallet ya kijana wa 90 nikakutana na vumbi la kongo, hyo ni sign ya kwamba vijana hawana uwezo... Mi mke wangu nikiskia amechepuka na Hawa vijana siwez kuumia maana najua huko faragha walikua wanapiga stori za mapenzi tuWe kizazi cha?.
Au kuna 90's kapita na shemeji nini maana hii vita yako sio bure kuna jambo.
wiki moja kabla ya mwaka mpya nadhani, sijui tareheOya mshamba_hachekwi ivi ulisema dec tarehe ngapi ndio kinaanza kuhappen pande hizo
Nasikia tarehe 8 sijui kweliwiki moja kabla ya mwaka mpya nadhani, sijui tarehe
nimeulizia, ni tarehe 8Nasikia tarehe 8 sijui kweli
Hiki kizazi cha sasa kimelelewa na kizazi cha zamani, ukiona kizazi cha sasa kinapotea basi kaa ukijua kizazi cha zamani kilishindwa kutimiza majukumu yao upande wa malezi.Habari zenu
Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya
Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni
Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu
Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.
Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Safi kijana πππππnimeulizia, ni tarehe 8
Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani.
Kabisa mkuu huyo mwanamke ana 33 mwanae ana 16 na mjukuu wa miezi 3Binti wa miaka 33 ana mjukuu? Mbona kizazi chake kimekuwa cha hovyo namna hiyo.