stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Fani yako ni ipi?Senior security
Utani pembeni, serious km Kuna mahali unaweza nipa connection ya kazi naombaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fani yako ni ipi?Senior security
Utani pembeni, serious km Kuna mahali unaweza nipa connection ya kazi naombaa.
Maishani mwangu naogopa sana kuonekana tapeli. Nikionesha nia ya kukusaidia nahisi naonekana kama nimevaa vazi la utapeli.Senior security
Utani pembeni, serious km Kuna mahali unaweza nipa connection ya kazi naombaa.
Mungu ni mwema rafiki... kumekucha salamaUmeamkaje kwanza
Utapeli tena? 😳Maishani mwangu naogopa sana kuonekana tapeli. Nikionesha nia ya kukusaidia nahisi naonekana kama nimevaa vazi la utapeli.
Hapana
Amen AmenMungu ni mwema rafiki... kumekucha salama
Fani yako?Utapeli tena? 😳
Anyway km una hofu usijali mkuu ubarikiwe
Omba kazi yoyote sekretarieti ya ajira. Ukiitwa kwenye usaili niambie nikusaidie kituUtapeli tena? 😳
Anyway km una hofu usijali mkuu ubarikiwe
Nilishaacha ht kuomba huko mkuu!Omba kazi yoyote sekretarieti ya ajira. Ukiitwa kwenye usaili niambie nikusaidie kitu
Nimejifunza kituAsante ni neno kubwa sana.
Kuna wakati unasaidiwa pakubwa hadi unapagawa ni kwa namna gani unaweza kushukuru.
Ukipiga hesabu za manufaa uliyoyapata unashindwa utoe kiasi gani kumshukuru aliyekusaidia.
Inawezekana kijana yupo katika hali hiyo ila kumbe wewe upo mtandaoni kumlaumu.
Omba . Ukiitwa tu kwenye usaili mchezo unakwishaNilishaacha ht kuomba huko mkuu!
Shida tupu
Thanks
Mkuu zaidi ya 5 yrs mtaani ht kuitwa tena huko hatuitwiOmba . Ukiitwa tu kwenye usaili mchezo unakwisha
Nimejifunza kitu
Watu wengi hawajui Mungu Huwa anawaweka mahali Ili kuwa msaada Kwa watu wengine!
Kushukuriwa ni vzr, lkn Mungu ndo Huwa anatoa shukrani za ukweli
Utashangaa Kwa kuwasaidia hao watu Mungu anakufungulia na we milango,mambo Yako yanaenda ...
Kumbe yule uliyemsaidia,anamshukuru Mungu Kwa ajili Yako anakuombea Mungu akuinue zaidi.....
Hii ni nzuri kuliko ht pesa
5 years michache. Wengine 10 sasaMkuu zaidi ya 5 yrs mtaani ht kuitwa tena huko hatuitwi
Nimesema zaidi rfk angu5 years michache. Wengine 10 sasa
Hukukidhi vigezo au kuna kitu hakiko sawa kwenye profile yako.Mkuu zaidi ya 5 yrs mtaani ht kuitwa tena huko hatuitwi
Pole. Mtaani maneno mengi. Utaambiwa kuna mtu kaiba nyota yako usipate kazi.Nimesema zaidi rfk angu
Mi mwenyewe Sina tofauti na hao wenye 10
Afadhali ww mkuu , nilinuunganisha dogo flani wa kijijini kazi , yule aligeuka mwizi kule . Aibu iliyonipata stowai sahauAfadhari wewe huyo uliemsaidia bado yupo kazina na hakuna kashifa yeyote ili iliyotokea, sasa mimi nilimpambania mtoto wa dada binamu ktk ukoo na ukizingatia elimu yake ni fomu 4 mwenye D 2 na akapata kazi nzuri tu mshahara laki 5, lakini cha ajabu kaenda kazini siku mbili tu na kuacha kazi hadi dada (mama yake mzazi) alidondosha kilio na machozi baada ya kuona binti yake kagoma kwenda kazini.
Leo hii nimepita ktk kampuni fulani wameniomba niwatafutie mfanyakazi nikakimbuka lile sakata nikasema moyoni simtafutii tena mtoto wa mtu kazi nilikumbuka issue ya yule binti alivyonidhalilisha baada ya kuacha kazi.
Asante 😅😅Pole. Mtaani maneno mengi. Utaambiwa kuna mtu kaiba nyota yako usipate kazi.