welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
- Thread starter
-
- #41
Kabisa, alafu msichogundua single mother kuna mambo mengi wanaendana, single mother wa maofisini wanapenda sana magaun flan ya kujiachia mafupi na kwenye pochi zao wamejiandaa kuliwa muda wowote, hawakosi miwani mikubwa na mtandio, chup na kanga na katu hutawakosa na wipes, hizo miwani na mtandio huwa wanapenda kujitanda wakiwa wanaingia gest!Wachache sana watamuelewa mtoa mada. Wanaume tunapaswa kujipendelea
Ndiyo ukweli ambao tunauficha inaumiza sana.Umesema vyema
ALAFU WANAWAKE WENGI WALIOZALIWA MIAKA YA 82-90KUENDELEA BAADHI YAO WAMEKUWA NA ULIMBUKENI WA MITANDAO WA HOVYO KAMA WATOTO WA ELFUMBILI.KIUKWELI KABISA MIMI NIKIWA GENIUS NAUNGANA MKONO NA WANAO KATAA NDOA NA KUZIONA UPUMBAVU ...MAANA NI KWELI KUOA NI UPUMBAVU WA KUJITAKIA HAKUNA FAIDA YOYOTE KUBWA...HASARA ZA NDOA KWA SASA NI NYINGI KULIKO FAIDA BORA KUMILIKI PESA INAWEZA KUTATUA MATATIZO MENGI KULIKO KUWA NA MKE ...FAIDA ZA KIFAMILIA ZINAZO PATIKANA NDANI YA NDOA ZIME SHUKA SANA SIKU HIZI...NDIYO MAANA VIJANA WAMEAMUA KUZAA TU NA KULEA WATOTO....KITU CHA MSINGI NI KUWA NA PESA NA KUITUMIA VIZURI KWA HAKI BASI
Kwa niaba ya kizazi kijacho wingi la single mother mtaani Ni kubwa sana na hawana muda kabisa wa kuwalea watoto!Pole sana mkuu
Najuta kuchelewa kujua mambo kama haya au kutoyapa uzito unaostahili, maana yaliyonikuta mh! shetani mwenyewe yuko paleee kapiga zake pozi anaskilizia ninavyogwaya.Kijana..... unapo kutana na binti kabla ya kumchumbia, Jipe muda ili umfaham kitabia. Wafaham ndugu zake, familia yake na aina ya maisha alio kulia.
Jipe muda ujue alilelewa na nani/alipata malezi gani na inner circle yake kwa ujumla.
Sababu wahanga wakubwa na wabeba maono katika familia ni kijana wa kiume.
Huu Ni ukweli unaouma, Ila kupata bikra kwa Sasa Ni ndoto wakishaanza form one tu kwisha habari!KABLA YA YOTE HAKIKISHENI MNAOA MWANAMKE BIKRA! MWANAMKE ASIE BIKRA HUYO SIO MKE WAKO NA HAWEZI KUJA KUMSAHAU ALIE MBIKIRI KAMWE! KITU USED NI USED TU, NA HAKIWEZI KUFANANA NA KITU KIPYA MPAKA MWISHO WA DUNIA
Wewe umeongea ukweli asilimia 95 kuhusu single mothers.Ni mambo tunayo yaona mitaani,
Single mother wengi wapo buys kutafuta hela kushindana na wanaume huku wakisahau kabisa malezi ya watoto!
Is not for everyone......Marriage is not for the WEAK
Hatuna cha kufanywa, sisi hatuolewi tunaoa, sisi hatuendi kua chini ya mtu tunaenda kua juu ya watu (familia)..Kwa sauti ya yule yesu wa kwenye movie
"je na nyinyi wanaume mliolelewa bila baba mfanywe nini??"
Pole sana, sie mimi yalinikuta mara 3 kwa wanawake tofauti kwa kosa la kutokujua nini cha kufanya kabla ya kuingia kwenye uchumbaNajuta kuchelewa kujua mambo kama haya au kutoyapa uzito unaostahili, maana yaliyonikuta mh! shetani mwenyewe yuko paleee kapiga zake pozi anaskilizia ninavyogwaya.
Noted...Kijana..... unapo kutana na binti kabla ya kumchumbia, Jipe muda ili umfaham kitabia. Wafaham ndugu zake, familia yake na aina ya maisha alio kulia.
Jipe muda ujue alilelewa na nani/alipata malezi gani na inner circle yake kwa ujumla.
Sababu wahanga wakubwa na wabeba maono katika familia ni kijana wa kiume.
Bikra wapo wengi dadaHuu Ni ukweli unaouma, Ila kupata bikra kwa Sasa Ni ndoto wakishaanza form one tu kwisha habari!
Na kitu inayoweza kuua watu milioni 3 ndani ya dk 5 kwa mkono mmoja tu?