Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi mother kushea mwanaume na binti yake siyo jambo la kushangaza.usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
Mkuu hao si watu wazima kabisa tena ni wa mama.ALAFU WANAWAKE WENGI WALIOZALIWA MIAKA YA 82-90KUENDELEA BAADHI YAO WAMEKUWA NA ULIMBUKENI WA MITANDAO WA HOVYO KAMA WATOTO WA ELFUMBILI.
Akipata mimba anakuwa single mother na lawama zote anabeba yeye?Umefanya uamuzi sahihi ambao binafsi sikubaliani nao...
Huyo haukutakiwa kumpiga chini, huyo ilipaswa umeweke kwenye list ya spermbins wako, yaani awe mwanamke wa kupunguzia uzito tu baasi pale unapokuwa na nyege Tena hamuwekei wivu kabisa
Tutaojuta ni wanawake maana miiili yetu inabeba huu uhai . Uharibifu wa jamii tutau-feel sisi wanawake wakati wanaume wakienjoy uharibifu huo since watakuwa wamepata weak-link.Na hawa mnaozaa na kutelekeza nyie akina Kataa Ndoa lakink huku mkizaa zaa hovyo wataishia wapi? Ni mata of taimu tu mtajionea majanga kabla hamjafa mtajuta.
Hapo unapoishi wapo lakini lazima uwajue kuwatambua tabia zao na familia wanayoishi je wanaishi kwenye famila ya aina gani au marafiki zake ni wapoje kitabia.Wanapatikana wapi
Una mume?Tutaojuta ni wanawake maana miiili yetu inabeba huu uhai . Uharibifu wa jamii tutau-feel sisi wanawake wakati wanaume wakienjoy uharibifu huo since watakuwa wamepata weak-link.
Mwanaume amekuja duniani kucontrol, akishindwa kucontrol anakaa pembeni kurusha lawama. Kujihold-responsible ni kitu ambacho hatakaa aweze hadi siku yesu anarudi.
Binafsi Mwanaume ni kiumbe kinachonishangaza sana hapa duniani.
HAPANA.Una mume?
si wa mama, ULIMBUKENI wao wa MITANDAO wengi wameshindwa kuwaeshimu waume wao Ni maa single mother!Mkuu hao si watu wazima kabisa tena ni wa mama.
Au kama vipi turudi tu kwenye ule utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee.Kijana..... unapo kutana na binti kabla ya kumchumbia, Jipe muda ili umfaham kitabia. Wafaham ndugu zake, familia yake na aina ya maisha alio kulia.
Jipe muda ujue alilelewa na nani/alipata malezi gani na inner circle yake kwa ujumla.
Sababu wahanga wakubwa na wabeba maono katika familia ni kijana wa kiume.
Na mbaya zaidi hawajioni kama ni viburi. Mfumo jike uliosimikwa duniani kote kwa sasa umewakalilisha kwamba kiburi na ligi ya kutunishiana msuli na mume huo ndio usawa wa kijinsiaNawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao.
KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother wengi ni Malaya mbwa wanaojificha katika makanisa.
Narudia tena usithubutu kuoa binti aliyelelewa na single mother Ni swala la muda tu utajuta na wengi wao ni walevi na usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
Mifumo inambana mwanaume. Sasa hivi wanawake wanazijua haki zao lakini hawajui wajibu wao. Ukijifanya dikteta anadai talaka kinachofuata hapo unaambiwa uondoke kwenye nyumba yako umwache mwanamke ambae hajachangia hata tofali moja.😂😂 dah ila taratibu kizazi cha kiume kinadidimia, why kila uchwao ni malalamiko dhidi ya wanawake. Ile sauti kuu ndani ya nyumba siku hizi inapotea.
Kwa sababu mwanaume ndie anaewekeza zaidi kwenye mahusiano kwaiyo mahusiano hayo yakifa mwanaume ndie anaingia hasara wakati mwanamke hana cha kupoteza na kama mlifunga ndoa ataondoka na share ya mali zako.Kwanini vijana wengi mnalalamika sana now days kuliko wanawake
Tukisema maono ndo hayo sasa,Kuowa hushindwi ila kuna maisha baada ya ndoa ndio yaliyokusukuma kuwa hivo hongera sanaNina demu wangu yaani ananikata mood wakuu yaani anavaa kipensi kifupi anasem hata wazazi wake wanamruhus kiukwel nimeamua niachen nae maan nimeona kabisa ntaishia kuja kuvaa karoti ...
mavazi ya ovyo kabisa mapaja nje matiti nje kiukwel ananiita mimi mshamba nimemwambia acha niwe mshamba mwelevu kuliko wew mjanja nimepiga chini wazee atanisameh miez miwil sas nishakata mawasiliano nae na ashajua nime move on
Siungi mkono hoja....Au kama vipi turudi tu kwenye ule utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee.
Leta ushuhuda vijana wengine wajifunzeNajuta kuchelewa kujua mambo kama haya au kutoyapa uzito unaostahili, maana yaliyonikuta mh! shetani mwenyewe yuko paleee kapiga zake pozi anaskilizia ninavyogwaya.
Muhimu wife material. Kupenda ni fantasy tu.Siungi mkono hoja....
Utakuja kujikuta umeoa mke ambae sio chaguo lako then hauto mpenda