Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

Koment yako ipigwe lamination mkuu
 
Mimi nafikiri kuwa mwanaume ukiwa na pesa hauwezi kudharauliwa na hivo viumbe.

So suluhisho ni moja tu.
Kwahio mfano wake za watu wakubwa waliopitiwa na engonga waume zao walikuwa hawana Pesa ,,Yaani hapa akili zetu zinatakiwa zifikirie kikubwa sana
 
Mkuu calm down hii hasira umekuja nayo ni kali mno
 
Uneongea point lakini hitimisho lako ni hovyo. Tuseme umeonyesha changamoto bila suluhu. Mwanamke afanyeje kuonyesha ni bora zaidi ya kuprove ni mwanamke bora. Akae tu kama fala wakati wewe unamsoma. Obvious lazima aonyeshe ni mke bora.
 
ALAFU WANAWAKE WENGI WALIOZALIWA MIAKA YA 82-90KUENDELEA BAADHI YAO WAMEKUWA NA ULIMBUKENI WA MITANDAO WA HOVYO KAMA WATOTO WA ELFUMBILI.
Wasanii wamewaharibu. Wengi ni followers wa waigizaji na celebrates. Wenzao wanapojipost wanakuwa ofisini. Liulize lenyewe linafanya kwa manufaa ya nani, hana jibu
 
Tena hivyo viimba mapambio vilokole vya mchongo ni viinyoka venye sura za binadamu
 
Uneongea point lakini hitimisho lako ni hovyo. Tuseme umeonyesha changamoto bila suluhu. Mwanamke afanyeje kuonyesha ni bora zaidi ya kuprove ni mwanamke bora. Akae tu kama fala wakati wewe unamsoma. Obvious lazima aonyeshe ni mke bora.
Wewe ni mzito sana wa kuelewa hisia kwenye maandishi, nini maana ya mtego? Lazima ujue kuwasoma mana kuwagundua ni ngumu...!!
 
vipi kuhusu tiGo?
 


1 Petro 3.7

"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili................"


ukweli ni Kwamba MUNGU alimuumba Mwanamke kwa MWANAUME mwenye akili basi na sio Pesa wala mali wala wala elimu wala kitu chochote kile Zaidi ya akili


Hakuna kitu kinaweza kumfanya mwanamke akatulia na kuwa mke MWEMA Zaidi ya Akili


Vyote vipo NDANI ya Akili, kosa vyote lakini usikose Akili na kuwa na kisomo au mali au fedha sio ishara ya kuwa na Akili ✍️
 
Well, inapaswa muanze kwanza kuwashangaa na kuwalaumu hao waliowaleteeni hayo mabadiliko ya kimfumo wa maisha ambayo yamewanyang'anya wanaume hiyo control(mind you men are no longer pulling the strings in our society) kiasi kwamba Sasa wameamua kukaa pembeni huku wakitake advantage ya mapungufu ya mfumo huo kuwa exploit wanawake.

Suala la wanaume kuji hold responsible/accountable ni gumu sana kama ilivyo tu kwa wanawake kuwa accountable kwa jambo lolote ovu wanalolifanya kutoka na aina ya maisha tuliyoamua kuishi, maana tuko kwenye nyakati ambazo sahihi haijulikani ni ipi na isiyo sahihi ni ipi hasa kwa wanawake.
 
Na mbaya zaidi hawajioni kama ni viburi. Mfumo jike uliosimikwa duniani kote kwa sasa umewakalilisha kwamba kiburi na ligi ya kutunishiana msuli na mume huo ndio usawa wa kijinsia
Jamii yetu imewaaminisha wanawake kwamba

-Akiwa na kiburi ndio kujiamini huko
-Akiwa mjuaji,mbishi na overconfident ndio kujelewa huko
-Akiwa anavaa nusu uchi, anafanya tu ngono kiholela na mwanaume yeyote anayejiskia eti ndio uhuru wenyewe huo tena wakamwambia your body your choice
 
And to date with boss or coworker is a crush tu sio issue.
 
Wallah bilai watalai wewe umeongea kitu unachokijua mno au ni mtaalam mkubwa sana wa mambo ya mahusiano ungekua karibu ningekupa hata buku aisee👍👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…