Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

Kuna content nimeiona bbc watu wanaishi km wapenzi and wengine ndoa kabisa lkn hawataki kua na watoto wanataka kufanya yao and no children,tena dada analalamika kabisa kua kuzaa kuna complications ambazo yy hataki kabisa kuzipata and wana chama chao kabisa dunia inaenda kubaya sn and possible wapo pia hapa tz
 
Ndoa ni muunganiko wa wahuni wawili wenye malengo mawili tofauti.

Lengo la mume ni kuondoa sugu za upwiru kila alfajiri, na lengo la mke ni kufugwa na kulishwa ili kuepuka jua kali la saa saba.

Hapo katikati kuna msuguano mkali. Mchuano wa kukata na shoka baina ya upwiru na utapeli.

Cc : Binti Kimario Depal
Comments ya mwezi hii
 
Back
Top Bottom