Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Kiongozi wa ndoa ni mmoja tu hiyo ya wawili haipo hata huko kwa wazunguNini maana ya Ndoa? Maana ya ndoa ni taasisi inayoongozwa na kikundi cha wahuni wawili wenye malengo tofauti......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi wa ndoa ni mmoja tu hiyo ya wawili haipo hata huko kwa wazunguNini maana ya Ndoa? Maana ya ndoa ni taasisi inayoongozwa na kikundi cha wahuni wawili wenye malengo tofauti......
Kama umesoma juu juu hata huwezi kuelewa mkuu mwasibu.
The point is "Yotee uliyoyaandika ambayo mwisho wa siku huishia kutomban(a) hayana uhusiano wowotee na NDOA"Kama umesoma juu juu hata huwezi kuelewa mkuu mwasibu.
Sawa mkuu!The point is "Yotee uliyoyaandika ambayo mwisho wa siku huishia kutomban(a) hayana uhusiano wowotee na NDOA"
#YNWA
Zinaa haikwepeki Kwa kuoa/kuolewa. Kama wewe ni mzinzi hata ukioa/kuolewa utaendeleza uzinzi wako tu.Hivi huwa mnaoana kwasababu ya kupendana au kukwepa zinaa?
Comments ya mwezi hiiNdoa ni muunganiko wa wahuni wawili wenye malengo mawili tofauti.
Lengo la mume ni kuondoa sugu za upwiru kila alfajiri, na lengo la mke ni kufugwa na kulishwa ili kuepuka jua kali la saa saba.
Hapo katikati kuna msuguano mkali. Mchuano wa kukata na shoka baina ya upwiru na utapeli.
Cc : Binti Kimario Depal
Timu kataa ndoa hawachezi mbali na hizi mada😊Wakorintho 1:7-8 "
"Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa"...zingatia bolded texts
Mkuu umetumia maneno makali sana [emoji16]Ukiona Shetani amegeuka na kuanza kushawishi watu waingie mbinguni basi ujue hiyo mbingu haipo.
Manteno mazito haya 🤣😄Ukiona Shetani amegeuka na kuanza kushawishi watu waingie mbinguni basi ujue hiyo mbingu haipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona Shetani amegeuka na kuanza kushawishi watu waingie mbinguni basi ujue hiyo mbingu haipo.
Wewe kwa nini unashauri watu wasiolewe, tusikie hoja zako.Wakorintho 1:7-8 "
"Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa"...zingatia bolded texts
Kuhusu kuolewa mkuu watakuja wanawake wasiotaka kuolewa, niulize kuhusu kwanini sitaki kuoa..na sishauri watu kuoaWewe kwa nini unashauri watu wasiolewe, tusikie hoja zako.
Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.dunia inaenda kubaya sn and possible wapo pia hapa tz
Hiyo ni dalili ya kushindwa, na kukubali kuendelea kuwa tegemezi kwa wanaume.Awwww Thubutu
Ke ndo mashetani, hata shetani ana afadhali.Mkuu,mleta mada ni shetani ama jinsia ke kwa ujumla ni mashetani 😂😂