Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Duh, watu mnatoa wapi huu ujasiri? Kisa Kei tu?

Poleni sana!
 
Pole sana mkuu, kubali kuwa umepoteza na anza upya ikiwezekana badili mazingira uza ulichonacho kaanze maisha upya sehem nyingine na usijejaribu kusema utairudisha hiyo hela na kutaka kuirudisha kupitia kamari, utapoteza kila kitu mpaka uhai.
 
Siku hizi kuna maarifa kila mahali, ungejaribu basi kutafuta hayo maarifa kabla ya kuzama ndani.
Betting ni chronic heartache kwa dunia ya sasa, sio bongo tu hata mbelez watu wanabet balaa.

Ila unapobet kila ulichonacho hapo lazima uumie, unapofanya betting kama kazi utaumia, unapobet ili utatue tatizo fulani kubwa utaumia...vyote hivyo ni sababu utatumia hisia zaidi ya maarifa.
Bet what you can afford to lose. Bet responsibly. Pole sana mleta mada.
 
Pole, You can't beat Algorithms, fair betting ni sports angalau kwasababu wahusika wote ni human na sio machine.
 
Three addiction of every man
1. Wanawake
2.pombe na vilevi
3.kamari aka gambling

Every man anakua sehem moja kati ya hayo pia wapo wenye zote tatu

Hapo namba 3....Unaweza usiwe gambler lakini when it comes to risk taking unakuta you don't think twice upo tayari kujilipua mda wote (mfano biashara au fursa ikitokea unafufuka nayo tu mbele kwa mbele)

Wazee wa get rich or loose trying 😎🤠
 
[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…