Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

kukosea kupo tu kwenye haya maisha , hata siku moja huwezi fanya yalio sahihi tu, jua kuna siku utakosea na unapokosea ndio kuna kujifunza ,kifo hakijawai kuwa solution kwenye matatizo pesa uliopoteza kama uliitafuta wewe amini unaweza kuipata zaidi ya mara mia kama ukiamua kuanzia upya , mimi naekuandikia hapa nilikwa mrahibu wa kamali na hakuna kamali sijawai cheza kuanzia dubu karata paka kasino ila 2020 niliamua kuacha na kuanza maisha mapya hakuna linaloshindikana maamuzi yote unayo wewe futa account au waombe wao betting company wakurestrict hutoona ujumbe wowote ule wala hutoweza kuingia kwenye io account ya kidenge kikubwa Muombe sana Mungu betting ni spirit muda mwingine ndio maana vitabu vya dini vyote vimekataza.
 
Wiki Moja nyuma hapo nimemtwanga mhindi laki 7 Kwa buku2
Laki saba kwa buku mbili...; Hizo ni odds zaidi ya 350 to 1 yaani usishangae ukajaribu tena kucheza hio na katika mara 1400 ukashinda mara mbili sasa hapo ukipa hesabu; utakuwa umemtwanga muhindi 1.4m kwa mtaji wa 2.8m; Na hapo sijaweka mkono wa Serikali kula 10% kila unaposhinda....

In the end the House always wins (Hesabu zinawalinda)
 
Njoo kanisani kwagu nikuombee ushinde betting lakini njoo na sadaka isiyopungua elf20
Screenshot_20240311-215536_X.jpg
 
Tatizo unaingia kichwa kichwa kubet aviator unaformula yke Kuna namna ya kutafuta purple 🟣 na pink 🩷 huu formula inakupa ujuzi wa kujua pink inakuja dk ngap na sekunde ngap na purple hivyohivyo wazungu kila wanavyuoni kitu huwa inaformula zake kama unavyoona forex kama ulihitaji kujifunza aviator me nafundisha kwa bei nafuu tu kama bure unaweza nitexts whatssap kw anayetaka kujua 0718551927
 
Katika aviator sio kila muda wa kuingia kuna tinlme entry na time exist Kuna stable market na unstable market unatakiwa ufahamu hapa kwanza utakuwa umejifunza kitu kitakusaidia nina mbinu nying sana key code mapigo ya aviator namba yangu nmeweka mwenyekunitafuta ndoa njia ya kukimbia umasikini
 
Tatizo unaingia kichwa kichwa kubet aviator unaformula yke Kuna namna ya kutafuta purple 🟣 na pink 🩷 huu formula inakupa ujuzi wa kujua pink inakuja dk ngap na sekunde ngap na purple hivyohivyo wazungu kila wanavyuoni kitu huwa inaformula zake kama unavyoona forex kama ulihitaji kujifunza aviator me nafundisha kwa bei nafuu tu kama bure unaweza nitexts whatssap kw anayetaka kujua 0718551927
Acha tamaa
 
Mleta mada hujawahi kuona mtu:-
1. Kafungua duka, bar, saloon, hoteli, n.k halafu vikafa kabla ya kumpa faida?
2. Kalima shamba, kafuga, n.k halafu hakuna alichopata?
3. Kagombea udiwani, ubunge ama urais kwa kutumia rasilimali zake nyingi halafu kaangukia pua?

4. Kajenga jumba kubwa akafa siku 2 kabla ya kuhamia, kanunua mabasi yakaungua wiki 1 baada ya kuanza route.

Nataka kusema nini hapa?

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba kila kitu ktk maisha ni kubahatisha (kubeti).

Hivyo wanaobeti ktk mpira waendelee kama wengine wanavyoendelea ktk nyanja nyingine
 
Back
Top Bottom