Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 601
Hivi ni kweli? Mimi huwa nachukulia kama says za walimwengu tuNa huu ndio ukweli mkuu. 😊
Hahahaaaa wahalaaaaMiluzi mingi....
Mbwa lazima achanganyikiweHahahaaaa wahalaaaa
Hivi ni kweli? Mimi huwa nachukulia kama says za walimwengu tu
Ulitaka kuntisha aiseeNi says tuu! Life inaanzia age yeyote, life haina kanuni.
Sio yeye ndio nyoka kawang'ata wanawake hadi kawa mwoga kwamba atakapojaribu tena watamuuaUshang'atwa na nyoka hapo, kwahiyo kila jani litakalo kugusa lazima ushtuke.
Iko wapi hii?Ingia escort Tz huenda ukaambulia chochote kitu.
hata hivyo hakunaga walimu walio tulia au wafanya kazi wa umma.We muongo,Waalim kila leo wanakula fresh matunda ya ualim wao kwa kuanza na bikra zinatohangaika hangaika na balee zao.
Ulitaka kuntisha aisee
Halafu wewe ukaona unigeuze bibi yako si ndio🙄Ushafeli hapo, wakati una NJAA pale ndio ungepata mkweli, sasahivi hapo mtu anakuja kwasababu hela ipo
alietia mimba ndio anachangamoto hapo.Yaani uzae na mwanamke wa kwanza awe mjinga umuache uzae na wa pili awe mjinga umuache uzae na wa tatu awe mjinga hapo mjinga ni nani unahisi??
V.A.R
haaah kwahiyo mwanyaluke akijichanya tunamzika au?Sio yeye ndio nyoka kawang'ata wanawake hadi kawa mwoga kwamba atakapojaribu tena watamuua
anacholalamikia kua yuko mpweke, na wala si kwamba anataka tena watoto ila japo wakuzeeka nae.Una watoto watatu unahangaika kuoa ili iweje tafuta jitu la kupunguzia maji lea kwanza madogo janja