Safi asomae afahamu mambo haya uanawatesa sana vijana kweli kweli mimi hilo no.3 tuu ndo napambana nalo ila halinisumbui sana ninaenda nalo kistaarabu mengine sippo nayo kabisaVijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza
7. Uwolowolo
Utakuta kijana wa kiume anaweka pozi za kina binti Abdallah!Uwolowolo ni nini?
Ndio huo, uwolowolo.me sina hata chembe ya list tajwa hapo juu , ajabu nimemalizwa
#8.ongeza ushoga
#9.fake lifestyle
#10.usagaji
Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu vitu wasivyovielewa.Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo
Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!
Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.
Mnasubiri muajiriwe, na nani?!
Umeuliza swali nzuri sana. Hayo mambo yalikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia na sio mambaya kama hayo niliyoya-list hapo juu.mbona wewe hutushauli tuache ngono!, mapunyeto je..?
Haya.Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu vitu wasivyovielewa.
Kwahyo akiongeza hayo kwenye list unafit?me sina hata chembe ya list tajwa hapo juu , ajabu nimemalizwa
#8.ongeza ushoga
#9.fake lifestyle
#10.usagaji
Mkuu ni muhimu kutoa ushauri Kwa watu, ili kuwasaidia Kwa maslahi mapana ya nchi yetu.Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu vitu wasivyovielewa.
Hata wewe umenipa ushauri ambao sijakuomba.Mkuu ni muhimu kutoa ushauri Kwa watu, ili kuwasaidia Kwa maslahi mapana ya nchi yetu.