Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo

Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!

Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.

Mnasubiri muajiriwe? Na nani!

View: https://www.youtube.com/watch?v=6PtLkQlbzQA
 
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo

Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!

Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.

Mnasubiri muajiriwe? Na nani!
Energy sio shida kwa mtu anaefanya kazi za nguvu acha kukariri, pia pombe ikikutawala ndio shida ilankama mtu anakunywa kiasi inashida gani? Sema kila mitu kiwe kwa kiasi kisizidi
 
Juzi nimeingia mgahawani nimemkuta mwamba anakunywa supu na energy drink dah nikajisemea kwahiyo hapa mwamba ndo anajiweka fiti nini

Wataalamu wanasema energy drink kama utakunywa kwa siku basi moja tu na uwe unatembea tembea,sasa ebu jiulize kwanini uwe unatembeatembea,ila kuna watu kwa siku wanakunywa mpaka tatu au nne,je kwanini figo zisifeli

Pombe kitaalamu unywe mbili kwa siku na unywe moja kwa wastani wa lisaa limoja,je ni wangapi wanafanya hivyo

Halafu kwa kuitetea pombe wanasema unywaji wingi wa pombe huatarisha afya yako,yani ukinywa nyingi je ngapi?
 
Mwili usipoushughulisha lazima itakuramba sukari na pressure na hata figo hata kama haunywi energy na pombe. Ukiona ww ni mtu ambae kazi zako sio za kutoa jasho baada ya kutumia nguvu nyingi basi energy na pombe viepuke kabisa.
 
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo

Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!

Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.

Mnasubiri muajiriwe? Na nani!
Umeongea hayo lakini hujawakataza kuzini na uzinzi. Je, hayo ni afadhali kuliko kunywa energy drinks? Ahahahahaha!!!
 
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo

Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!

Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.

Mnasubiri muajiriwe? Na nani!
Mbona umeruks simba na yanga?
 
Juzi nimeingia mgahawani nimemkuta mwamba anakunywa supu na energy drink dah nikajisemea kwahiyo hapa mwamba ndo anajiweka fiti nini

Wataalamu wanasema energy drink kama utakunywa kwa siku basi moja tu na uwe unatembea tembea,sasa ebu jiulize kwanini uwe unatembeatembea,ila kuna watu kwa siku wanakunywa mpaka tatu au nne,je kwanini figo zisifeli

Pombe kitaalamu unywe mbili kwa siku na unywe moja kwa wastani wa lisaa limoja,je ni wangapi wanafanya hivyo

Halafu kwa kuitetea pombe wanasema unywaji wingi wa pombe huatarisha afya yako,yani ukinywa nyingi je ngapi?
Nikiwa nasoma "Vidudu" miaka ya mwanzoni na 1980 Jaji Mzee Warioba alikuwa anakunywa pombe kali (sitaki kusema gongo) pale SISIMKO BAR Kijitonyama. Nakumbuka hadi siku moja aliwahi kupoteza saa yake ya mkononi hapo! Ahahahahaha !!

Hadi leo Mzee wangu huyu anakunywa! Na kwenye kinywaji ni Role Model wangu na naamini nitaishi miaka mingi kama yeye nikinywa Konyagi ingawa sigara sivuti kama yeye! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom