Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo

Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!

Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.

Mnasubiri muajiriwe? Na nani!
 
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza
7. Uwolowolo
Safi asomae afahamu mambo haya uanawatesa sana vijana kweli kweli mimi hilo no.3 tuu ndo napambana nalo ila halinisumbui sana ninaenda nalo kistaarabu mengine sippo nayo kabisa
 
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1.Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo

Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike ni yupi na wa kiume ni yupi siku hizi!

Mnafikiri siasa za nchi hii ni za Mbowe na familia yake tu.

Mnasubiri muajiriwe, na nani?!
Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu vitu wasivyovielewa.
 
Back
Top Bottom