Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

Kwahiyo kwakuwa yeye yupo fiti mpaka leo kwa macho unamuona mzima
 
Mkuu kwanza mimi binafsi sibeti kwa mazoea ila ckuizi vijana wengi wameigeuza kama ajira huwa nahuzunika sana nchi yangu nguvu ya vijana inazidi kupotea.
 
Hapana hii ni ya mbulula kama ulivyoielewa..
Wenye akili wanajadili vitu kama huu ujumbe wa leo.....


View attachment 3179177
Kwa ujumbe huo inaonyesha kwamba wewe na mtoa ujumbe hamna mlijualo mmebaki kujifariji kama mko msibani hiyo mipango ingeonekana kuanzia kwenye familia yenu ,mipango ingeonekana kwenye mtaa munaoishi na mwisho kabisa kwenye Nchi masikini kama yenu mungeungana kuitoa hapa ilipo haya bwana mipango tuambie umepanga nini hadi sasa kwenye hizo sehemu tatu au nyie ndo mnapanga maandamano?
 
Haya ona sasa yaleyale....
Unanipa ushauri bila kukuomba.....
 
Vijana wa Dar kwa kweli wanasikitisha mno, juzi tu nilikuwa ndani ya dala dala eti mtu ananiomba nimfungulie paketi ya biskuti yeye kachoka.
 
Mpaka JF wamekutunuku cheo cha expert member nawe hapo namba 5 ni wa kushinda mitandaoni. Jitafakari sana komredi.
 
Labda ukiwaambia ww watakuelewa
 
Uwolowolo ni nini?
 
Uwolo wolo ndo nini????
 
Safi asomae afahamu mambo haya uanawatesa sana vijana kweli kweli mimi hilo no.3 tuu ndo napambana nalo ila halinisumbui sana ninaenda nalo kistaarabu mengine sippo nayo kabisa
Mimi nina miezi 6 sijanywa na nilikuwaga napiga hatari. Nikipokea mshahara nilikuwa natenga kabisa bajeti ya pombe kwa mwezi mzima tena naongezea na pesa ya dharura kwenye mazingira hayo hayo ya pombe.
Ajabu ni kuwa bajeti ya mwezi nilikuwa naiteteteza ndani ya wiki.
 
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na:
1. Kubeti
2. Energy drinks
3. Pombe
4. Club life
5. Too much time on social media
6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na
7. Uwolowolo
Umetia chumvi kidondani, inauma ila watapona
  1. Mtoto wa jirani yangu aliachiwa Canter na baba yake mapato yote yakaishia kubet
  2. Kuna fundi ujenzi anakunywa zaidi ya 2 kila siku pamoja na onyo lililopo kwenye kinywaji hicho
  3. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒ
  4. Watu wanachukua mikopo wanatanulia
  5. Wengi wameota vibyongo kwasababu ya kuinamia simu
 
Hata wewe umenipa ushauri ambao sijakuomba.

Unathibitisha maneno yangu.

Watanzania wengi wanapenda kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kwenye mambo wasiyoyaelewa.
Hii ni mada ni ya watu wenye akili na wanao angalia mustakbali wa vijana na taifa kwa ujumla,

Punguza ujuaji wa kijinga au ficha ujinga wako kwa kukaa kimya ili usijulikane,wewe kama uliishi kama Paka wa mtaani na hukupata ushauri,basi hayo ni maisha yako,

Vijana ni lazima washauriwe na watu wazima ambao wameyapitia maisha,hawa vijana wa leo kwa wanayoyafanya yatakuja kuwaathiri huko mbeleni na wengi wao watajuta ila itakua too late,

So,huu ushauri wa mleta mada ni ushauri huru na wala sio amri,atakayeona unamfaa atauchukua na atakayeona haumfai atauacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…