Usiogope uzee, kwani uzee unaanzia 75 kwa hivyo bado una muda mrefu sana wa kuishi vizuri.Uko 67-80yrs n kutesa wajukuu coz magonjwa ya uzeen itawasumbua mara umwe ksukar pressure, tez dume sonona ww n wakutembezwa kweny gar kutwa kupimwa kwa doctor Mwamed mara uwanikwe juani, unamwita mjukuu kumbe kavurungwa na maisha utasikia ili lizee slife linasumbua sana kila saa linaita ita weee staki kuwa kero kwa wengne
Mchicha mwiba ndo nn aseeh? Mchicha una mwiba ? Siku hiziMchicha mwiba.
🤣🤣🤣 nakukumbusha nyakat ibebadlika mkuu hyo 75 labda uwe umazaliwa Tanzania bdo ijapata uhuru lakn kuja uku walio zaliwa 67 year aiseee wamechoshwa na magonjwaUsiogope uzee, kwani uzee unaanzia 75 kwa hivyo bado una muda mrefu sana wa kuishi vizuri.
Kwa kutumia internet gani?Nilianza JF miaka ya 1990s
Hapana,Si ndio maana nilikuambia wewe ni mtu mbinafsi sana, ukishashiba ni basi.
Mbona unageuza ukweli mkuu, upo sawa leo, soma tena uliyoandika.Hapana,
Kuwahubiria watu ambao hawajakuomba ushauri, hawakujui, huwajui, huo ndio ubinafsi.
Unajiona wewe unajua sana na wanahitaji ushauri wako.
Huo ndio ubinafsi, unajikuza sana wewe.
Ukweli hata ukiwekwa mbele ya pua yako utaujua?Mbona unageuza ukweli mkuu, upo sawa leo, soma tena uliyoandika.
Jitahidi kujenga hoja mkuu.Ukweli hata ukiwekwa mbele ya pua yako utaujua?
Hoja ni kwamba mind your business.Jitahidi kujenga hoja mkuu.
Huo ndo uwezo wa Akili yako hujui kutofautisha kati ya kupewa hoja na kupewa ushauri hebu onyesha wapi umepewa ushauri we kiazi,Nyie ndo mnaishi kwa kuokoteza maandishi kwenye mitandao na kujaribu kuyaishi bila ya kufanya upembuzi yakinifu.
You should have minded your own, who invited you to my thread!Hoja ni kwamba mind your business.
Unaielewa hiyo hoja?
JF is a public forum. Anything you post here is inviting the public for comment.You should have minded your own, who invited you to my thread!
So it would be right for you to put your comments on and receive feedback from others without telling them to mind their business, right? Your problem is the logic of thought. You have chance to improve on this.JF is a public forum. Anything you post here is inviting the public for comment.
I am not putting my comments to receive feedback from others.So it would be right for you to put your comments on and receive feedback from others without telling them to mind their business, right? Your problem is the logic of thought. You have chance to improve on this.
We have said none is forced to receive advice, if you don't want advice just shut up and leave it for those the advice might help.I am not putting my comments to receive feedback from others.
I am telling you that you are giving advice where no one asked for it, to people you don't know, on matters you don't understand.
Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowafahamu, kuhusu vitu wasivyovielewa.We have said none is forced to receive advice, if you don't want advice just shut up and leave it for those the advice might help.
You should also learn that advices and warnings may be given at no one's request, this is not uncommon. And if you don't want any comments/replies to what you write here, this may not be your place. Why do you fail to understand this Mr. Kiranga?
Acha kubeti, energy drinks, pombe zilizozidi na uwolowolo itakusaidia. Kuna nini unafikiri sielewi Mr. Kiranga.Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowafahamu, kuhusu vitu wasivyovielewa.
Wewe ni mmoja wao.