Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Namna ulivomtumwa kwenye kazi za watu sio wote wako hivoLeo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu
Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Kila mtu hapa duniani ana utaratibu wake wa maisha ...namna anavofanya kazi nk wengine Ni dereva toyo wamekesha jpil kuamkia j3 Sasa ndo wanaenda kulala
Wengine mfano mm wakati jmoss na jpil mmepumzika mm nilikuwa nafanya kazi hivo j3 na jnne sitoki kabisa labda kwenda kununua kondom na kurudi ..jifunze ishi maisha yako huyo mtu hakuombi pesa na anaweza kuwa na Mali nyingi kukuzidi