Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Namna ulivomtumwa kwenye kazi za watu sio wote wako hivo

Kila mtu hapa duniani ana utaratibu wake wa maisha ...namna anavofanya kazi nk wengine Ni dereva toyo wamekesha jpil kuamkia j3 Sasa ndo wanaenda kulala

Wengine mfano mm wakati jmoss na jpil mmepumzika mm nilikuwa nafanya kazi hivo j3 na jnne sitoki kabisa labda kwenda kununua kondom na kurudi ..jifunze ishi maisha yako huyo mtu hakuombi pesa na anaweza kuwa na Mali nyingi kukuzidi
 
Vijana wa ovyo sana nchi hii
Yani wewe ndio utakuwa wa hovyo, maana unayo perseption mbaya kabisa. Yani kuona condom tu unapayuka payuka kama kasuku. What if Jamaa anaongezea stock yake!.
 
Umekuja kunisema mkuu? Ok condom huwa navaa Kama soksi maana kiatu kina nikwaruza sana vidole
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
We mzee kilichokupeleka hapo ni shida ya ugonjwa wako, naye kaenda kwa shida ya ugonjwa wake. Tatizo ni nini, mind your fucking business and work. Nyie ndo wale mnateseka na maisha ya watu wengine
 
Sioni kama kijana kafanya zaaaambiiiiii , kimsingi anajali afya yake na maisha yake kwa ujumla, wewe unayemshangaa ndio tukushsngae , sasa kama angekua anakula mzigo peku si ndio umgemshangaa na kumshangaa.
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Kwa namna unavyopenda kufuatilia mambo ya watu hiyo pressure unayoumwa itachukua muda sana kupata nafuu...
Dawa moja wapo ya kupona huo ugonjwa unaoumwa ni kutokufuatilia mambo ya watu.
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Jali mambo Yako.. muda wa uzalishaji unatofautiana.. yawezekana kashazalisha usiku mchana ndo muda wa Bata. Acha Hizo bas
 
We
Acha kuingilia mambo ya watu..mimi nilimshangaa sana mama yangu mzazi siku nimekwenda kumtembelea nikampa begi langu anihifadhie ndani ya begi lile kulikuwa na condom, nilikuta amelisachi na condom zangu hazionekani ......nilipomuuliza mbona baadhi ya vitu vyangu sivioni alinijibu kwa ukali
We Huna adabu kabisa unataka kusema Nini?
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Na ndio maana saa 12 asubuhi upo kununua dawa za presha kwa kufwatilia mambo yasiyokuhusu. Watanzania sijui tutaacha lini kumind our own business khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mindset za waajiriwa bwana j3 wanaiheshimu zaidi ya siku za ibada,
Mungu niepushie utegemezi huu nami niwe huru na wote tuseme Amen
 
Watu tuko kwenye ratiba tofauti tofauti, usifikiri ratiba yako ina apply kwa kila mtu duniani......take easy.
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Sasa mzee umesema mwenyewe anaenda kazini ulitaka akaee mtaani tu asubiri kuletewa ndio kazini kwake kuna mpatia mkate wa kila siku huko na hiko ndio kitendea kazi chake

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Ulitakiwa kumpongeza kwa kujali afya yake! Anaakili hiyo kijana japo ni mzembe.
 
Wewe ndio wa hovyo kufuatilia maisha ya watu. Ukifikiria hivyo hata wewe unajikuta fala kwa sababu umepata wapi muda wa kupost
 
Namsifu kwa kukumbuka kinga, ni ratiba yake, hiyo ni sehemu ya starehe yake. Huenda kajiajiri na sasa ni mda wake wa kupumzika.
 
Ukifuatilia Sana Mambo ya watu hauwezi kukosa pressure,

Yaani pressure yako ni ya kujitakia na imesababishwa na tu vitu twingi twa hovyo hovyo Sana.
 
Mbona unaingilia mambo ya watu? Kila mtu na mipango yake.
Na sisi tuliopo kaunta mda huu tusemaje
JPEG_20221121_105653_6166762816944045559.jpg
 
Back
Top Bottom