Huku hata kama tuna changamoto nyingi lakini ni nafuu kwenye kupanga nini nifanye kwa mda sahihiyah kweli mkuu kuajiriwa ni kutumikia mtu unawaza ukitumbuliwa ni waoi utaenda incase hauna plan b , plus kuna frictional unemployment utapitia hadi utapopata kazi , ni heri kujiongeza mapema tu mkuu nakuunga mkono
Mmh elezea vizur aiingii akilini mkuu simu uagize nje alafu Mteja aseme yke na apewe.ninaimport electronic devices from Asia and nauza huku , changamoto ni kama kodi , gharama ya usafirishaji ni kubwa , uaminifu kwa wateja sometimes unasumbua cause watu sio waaminifu , kuna mtu mmoja yeye huuza simu from china , yupo mobile yaani hana duka but ukihitaji bidhaa analeta ulipo ,so alipata mteja then avompelekea simu aikague and wafanye biasharaa jamaa akaanza kusema simu ni ya uwizi ni simu yake na vitu ka ivyo while simu ni mpya kabisa na akapelekwa polisi na simu ikachukuliwa na huyo mteja asiye mwaminifu .. so yeah hiyo ni mojawapo ya obstacle..
Mmh elezea vizur aiingii akilini mkuu simu uagize nje alafu Mteja aseme yke na apewe.
Kwani hiyo simu zikija si zinakuwa na ushahidi wote karatasi na risit zote za malipo.
Tofauti na hapo hiyo simu ni ya uwizi kweli.
Hapo mnapoenda kupokea hizo simu Hakuna documents yyt inayopewa?mzee , polisi akikushikia chini utakua na usemi wowote? unajua fika ni wababe , no sio simu za uwuzi maana mwenyewe pia nauzaga , tukiimport from china unaweza leta amvazo ni full box au unaweza leta second hand , kodi inalipwa na agent anayesafirisha , yan mfano labda ananicharge 50k ya usafiri , kodi ipo inclusive huko huko and kwasababu nimeshasema its a "mobile" market , yani freelancer risiti hawezi kukupa cause mtu hana duka and hana efd but kihalisi ameshalipa kodi cause la sivyo isingekuwa mtaani , simu mfano iphone itakuwaje ya uwizi while inafahamika fika kila mwenye iphone ameweka icloud yake ambapo ni yy tu ndio awezaye kuitoa , kwa hiki kidogo nilichoeleza hope umenielewa mkuu
Hapo mnapoenda kupokea hizo simu Hakuna documents yyt inayopewa?
Mimi nilijiajiri...Lakini sitasahau hii miaka 4 ya JPM,yaani mpaka wife ananishauri nichukue mavyeti nianze kuomba kazi tena.Kazi yenyewe sijui utaomba wapi Taasisi na Kampuni zinafungwa kila uchwao.
Mm nimekata tamaa kabisa kadri siku zinavyozidi ndio mambo yanakuwa mengiiii na uoni makutokea kabisa.biashara ngum sana kipindi hiki , tuongezee tena miaka mitano ya awamu nyingine...
Mm nimekata tamaa kabisa kadri siku zinavyozidi ndio mambo yanakuwa mengiiii na uoni makutokea kabisa.
Hii ya kusema watu wana matumbo lazima wale inanifurahisha sana, ni kama kamsemo fulani hivi kakujifariji.amna fanya research ya biashara nyingine , kitu kama mgahawa wa kula wa bei za kawaida mfano wali nyama buku jero , samaki buku mbili , wateja utapata tu maana vitu kama hivyo mteja lazima aje kila siku hamna mtu ambaye hali..
Hii ya kusema watu wana matumbo lazima wale inanifurahisha sana, ni kama kamsemo fulani hivi kakujifariji.
Ni sahihi umenikumbusha kuna meneja wa benki alikuwa anasema kuna kijana alienda kuomba mkopo bank anataka kuwekeza kwenye kusaga mahindi auze unga sasa akaulizwa una uhakika gani hii biashara yako inaweza kuulipa huu mkopo, kijana akajibu watu si wana matumbo lazima wanunue unga wakale ugali. Assume wewe ndio loan officer ungemjibu nini huyu kijana ha ha ha hahahah ila si ni kweli mkuu , na hujui words are very powerful ? ukianza kujiwekea negativities basi tarajia negative results ... and vice versa
Ni sahihi umenikumbusha kuna meneja wa benki alikuwa anasema kuna kijana alienda kuomba mkopo bank anataka kuwekeza kwenye kusaga mahindi auze unga sasa akaulizwa una uhakika gani hii biashara yako inaweza kuulipa huu mkopo, kijana akajibu watu si wana matumbo lazima wanunue unga wakale ugali. Assume wewe ndio loan officer ungemjibu nini huyu kijana ha ha ha ha
Ni kweli...haiishi tu kwenye kusema kuwa kuna hitaji la watu kula na wewe utawauzia unga kwenye hiyo chain of supply....ila as you wrote lazima uwe na mpango kazi unaoeleza huo unga utauuzaje?, na utamuuzia nani?haha uyo mm ningemwambia akafanye utafiti na arudi na business plan iliyonyooka , mfano ufungue sehem ya kusaga mahindi masaki nani atanunua huko while kule wa kishua tu ,
Watu siwana uchi lazima wavae (Duka la nguo), watu siwana magonjwa lazima watibiwe (Dispensal, pharmacy), watu siwanatafuta pesa lazima wasafiri (bodaboda, haice,costa), watu sinawatafuta pesa lazima watumiane (Uwakala), watu sinawana......hahah ila si ni kweli mkuu , na hujui words are very powerful ? ukianza kujiwekea negativities basi tarajia negative results ... and vice versa