Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

yah kweli mkuu kuajiriwa ni kutumikia mtu unawaza ukitumbuliwa ni waoi utaenda incase hauna plan b , plus kuna frictional unemployment utapitia hadi utapopata kazi , ni heri kujiongeza mapema tu mkuu nakuunga mkono
Huku hata kama tuna changamoto nyingi lakini ni nafuu kwenye kupanga nini nifanye kwa mda sahihi
Nashukuru Mungu kutokuwa mtumishi maana maana aina ya maisha ya kupenda kuwa huru ktk maamuzi
 
ninaimport electronic devices from Asia and nauza huku , changamoto ni kama kodi , gharama ya usafirishaji ni kubwa , uaminifu kwa wateja sometimes unasumbua cause watu sio waaminifu , kuna mtu mmoja yeye huuza simu from china , yupo mobile yaani hana duka but ukihitaji bidhaa analeta ulipo ,so alipata mteja then avompelekea simu aikague and wafanye biasharaa jamaa akaanza kusema simu ni ya uwizi ni simu yake na vitu ka ivyo while simu ni mpya kabisa na akapelekwa polisi na simu ikachukuliwa na huyo mteja asiye mwaminifu .. so yeah hiyo ni mojawapo ya obstacle..
Mmh elezea vizur aiingii akilini mkuu simu uagize nje alafu Mteja aseme yke na apewe.

Kwani hiyo simu zikija si zinakuwa na ushahidi wote karatasi na risit zote za malipo.

Tofauti na hapo hiyo simu ni ya uwizi kweli.
 
Kujiajiri ni process..na commitment....yan inabd uchukulie biashara yako kama maisha yako....sema wengi tunafeli kwakuwa tunachanganya biashara n bata....ili ufanikiwe kwnz inabd ujitoe sadaka
 
mzee , polisi akikushikia chini utakua na usemi wowote? unajua fika ni wababe , no sio simu za uwuzi maana mwenyewe pia nauzaga , tukiimport from china unaweza leta amvazo ni full box au unaweza leta second hand , kodi inalipwa na agent anayesafirisha , yan mfano labda ananicharge 50k ya usafiri , kodi ipo inclusive huko huko and kwasababu nimeshasema its a "mobile" market , yani freelancer risiti hawezi kukupa cause mtu hana duka and hana efd but kihalisi ameshalipa kodi cause la sivyo isingekuwa mtaani , simu mfano iphone itakuwaje ya uwizi while inafahamika fika kila mwenye iphone ameweka icloud yake ambapo ni yy tu ndio awezaye kuitoa , kwa hiki kidogo nilichoeleza hope umenielewa mkuu
Mmh elezea vizur aiingii akilini mkuu simu uagize nje alafu Mteja aseme yke na apewe.

Kwani hiyo simu zikija si zinakuwa na ushahidi wote karatasi na risit zote za malipo.

Tofauti na hapo hiyo simu ni ya uwizi kweli.
 
mzee , polisi akikushikia chini utakua na usemi wowote? unajua fika ni wababe , no sio simu za uwuzi maana mwenyewe pia nauzaga , tukiimport from china unaweza leta amvazo ni full box au unaweza leta second hand , kodi inalipwa na agent anayesafirisha , yan mfano labda ananicharge 50k ya usafiri , kodi ipo inclusive huko huko and kwasababu nimeshasema its a "mobile" market , yani freelancer risiti hawezi kukupa cause mtu hana duka and hana efd but kihalisi ameshalipa kodi cause la sivyo isingekuwa mtaani , simu mfano iphone itakuwaje ya uwizi while inafahamika fika kila mwenye iphone ameweka icloud yake ambapo ni yy tu ndio awezaye kuitoa , kwa hiki kidogo nilichoeleza hope umenielewa mkuu
Hapo mnapoenda kupokea hizo simu Hakuna documents yyt inayopewa?
 
no paperworks , sio kwamba unaleta bulky , no unakuta maybe 10 phones , mfano wewe ukiagiza simu moja do you fill for any paperworks?
Hapo mnapoenda kupokea hizo simu Hakuna documents yyt inayopewa?
 
biashara ngum sana kipindi hiki , tuongezee tena miaka mitano ya awamu nyingine...
Mimi nilijiajiri...Lakini sitasahau hii miaka 4 ya JPM,yaani mpaka wife ananishauri nichukue mavyeti nianze kuomba kazi tena.Kazi yenyewe sijui utaomba wapi Taasisi na Kampuni zinafungwa kila uchwao.
 
amna fanya research ya biashara nyingine , kitu kama mgahawa wa kula wa bei za kawaida mfano wali nyama buku jero , samaki buku mbili , wateja utapata tu maana vitu kama hivyo mteja lazima aje kila siku hamna mtu ambaye hali..
Mm nimekata tamaa kabisa kadri siku zinavyozidi ndio mambo yanakuwa mengiiii na uoni makutokea kabisa.
 
amna fanya research ya biashara nyingine , kitu kama mgahawa wa kula wa bei za kawaida mfano wali nyama buku jero , samaki buku mbili , wateja utapata tu maana vitu kama hivyo mteja lazima aje kila siku hamna mtu ambaye hali..
Hii ya kusema watu wana matumbo lazima wale inanifurahisha sana, ni kama kamsemo fulani hivi kakujifariji.
 
hahah ila si ni kweli mkuu , na hujui words are very powerful ? ukianza kujiwekea negativities basi tarajia negative results ... and vice versa

Ni sahihi umenikumbusha kuna meneja wa benki alikuwa anasema kuna kijana alienda kuomba mkopo bank anataka kuwekeza kwenye kusaga mahindi auze unga sasa akaulizwa una uhakika gani hii biashara yako inaweza kuulipa huu mkopo, kijana akajibu watu si wana matumbo lazima wanunue unga wakale ugali. Assume wewe ndio loan officer ungemjibu nini huyu kijana ha ha ha ha
 
haha uyo mm ningemwambia akafanye utafiti na arudi na business plan iliyonyooka , mfano ufungue sehem ya kusaga mahindi masaki nani atanunua huko while kule wa kishua tu ,

Ni kweli...haiishi tu kwenye kusema kuwa kuna hitaji la watu kula na wewe utawauzia unga kwenye hiyo chain of supply....ila as you wrote lazima uwe na mpango kazi unaoeleza huo unga utauuzaje?, na utamuuzia nani?
 
hahah ila si ni kweli mkuu , na hujui words are very powerful ? ukianza kujiwekea negativities basi tarajia negative results ... and vice versa
Watu siwana uchi lazima wavae (Duka la nguo), watu siwana magonjwa lazima watibiwe (Dispensal, pharmacy), watu siwanatafuta pesa lazima wasafiri (bodaboda, haice,costa), watu sinawatafuta pesa lazima watumiane (Uwakala), watu sinawana......

Tukisema hivyo basi kila biashara lazima iyende je hizo zote hazina ugumu.....
 
Shout out to all ninjas who started it over as soon as they were done with college with no trusted fund, no loans, no shoulder go cry on, no uncles,no shemejis etc!! Keep blessed in your hassles.
 
"share challenges unazoface tusaidiane wote kuzitatua na hatimaye tupate kufanikiwa wote kwa pamoja .... Nawasilisha.."
Binafsi sijakuelewa, maana katika biashara tunazofanya kuna changamoto nyingi, ikiwemo mazingira, mtaji na nk.
 
Back
Top Bottom