Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

Its easy to identify a virgin girl, ila kwa mwanaume πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
''Ila hawa jamaa wa Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli'' wakihamia kwenye social medias zingine na mtaani wataharibu mindset ya vijana wengi ambao bado hawajaoa.

Mtu unaweza kuona Ndoa ni tatizo kwako lakini kwa wenzio ni Faraja kuu.
"Tunakuja huko mitaan Bado tuna print T-shirts na Mabango.
Subiri zikamilike"
Aliskika mwenyekiti wetu dronedrake πŸ€”
 
ukiona mtu kadumu naye ujue ni mtu kajitoa mganga, a self sacrificing love,
she/he atapata vipindi vifupi sana vya furahia na huyo mtu but mostly itakuwa ni mateso ya kisaikolojia, kihisia na hata kimwili
Na huu ndio ukweli. Watu ambao wamekutana na shuruba ya kutosha, ili waweze kudumu kwenye mahusiano na kuwa na furaha, wanahitaji mtu ambae hana jeraha, mwenye kuweza kuvumilia sana. Kinyume na hapo, ndio watakuja na hizi kampeni
 
Wametawaliwa sana na huzuni. Wao wanaamini hawahitaji ndoa, maana ni utapeli, ila kiuhalisia wanahitaji upendo na faraja, maana ni vitu walivyokosa
 
Bikra hua na raha yake km ukienda kwa protocol...!!wengi huenda kwa pupa...!!unamuondoa mtu hofu kidogo kidogo...inabd kama una time utumie hata wiki...!!mimi nlkuwa sijui ila kiukweli yule girl mpk leo anatuma zawad...!!
Utumie wiki nzima alaf akisafiri ghafla? ,πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Just kidding
 
πŸ€”
Nimecopy mahali

"When an individual chooses to engage in casual sex, breaking bond after bond with each new sexual partner, the brain forms a new synaptic map of one-night–stands. This pattern becomes the β€œnew normal” for the individual. When and if the individual later desires to find a more permanent partner, the brain mapping will have to be overcome, making a permanent bond more difficult to achieve."
 
Its easy to identify a virgin girl, ila kwa mwanaume πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Kuna litmus tests lakini ndo hivyo, not reliable.

Mostly the female is on the losing side, anaangushiwa jumba bovu.

Lakini mzungu akasema ah ah not fair siku hizi bikra za kununua zipo 😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…