Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

Rejea hitimisho langu. Thread heading yako, mwishooooni ndio tunaiona ila nimeijibu, na nimejibu hlo swala la bikr
Ulichoandika
ww, ni tofauti kabisa na nilivyoizungumzia Mimi. Laiti ungekuwa umeelewa andiko langu, basi usingesema hivi. Kwamba kuacha au kuachwa, vinahusiana nn na bikra? Soma tena post namba 1
Boomer age bulge🚮.
Maswala ya bikra yalishapitwa na wakati millenials sisi si wakoloni. Uwe nayo usiwe nayo. Unaliwa mzigo ukiznguliwa unaachwa. BTTS. Mwanamke atolewe bikra anaacha au anaachwa, we don’t care .
 
Ulichoandika
ww, ni tofauti kabisa na nilivyoizungumzia Mimi. Laiti ungekuwa umeelewa andiko langu, basi usingesema hivi. Kwamba kuacha au kuachwa, vinahusiana nn na bikra? Soma tena post namba 1
Najua umeelewa. Endelea na thread yako
 
Najua umeelewa. Endelea na thread yako
Ofcourse ulichoandika wewe nimekielewa, ni mtazamo ambao vijana tunao kuhusu bikra, lakini ni nje ya context niliyozungumzia mm, hasa hapo ulipoingizia swala la wazee na enzi hizo.

Anyway, thanks master. Acha niendelee na thread yangu
 
Write your reply...Watu huwa wanabeba maumivu ya mahusiano yaliyopita na kwenda kuyalipizia kisasi kwingineko and the cycle continues like that
 
Write your reply...Watu huwa wanabeba maumivu ya mahusiano yaliyopita na kwenda kuyalipizia kisasi kwingineko and the cycle continues like that
Cycle hauwezi Isha, maana kuna wahanga wapya watazaliwa kwenye hayo mahusiano, ambao nao watapeleka maumivu yao sehem zingine
 
Usipooa ni SIMPLE TU, utabanduliwa! Hakuna namna

1. Yohana mbatizaji hakuoa
2. Yesu hakuoa
3. paulo hakuoa
4. Nehemia hakuoa
5. Ruth hakuolewa
6. Yeremia hakuoa
7. Martha hakuolewa
8. Anna alibaki mjane mpaka mwisho wa uhai wake
9. Yosefu hakuoa

Unataka kumaanisha nini mkuu?
 
Hawa walikua na special assignments sio raia wa kawaida. Hizo ni special mission ndio nilichotaka kusema. Sio hizi simblisi
 
''Ila hawa jamaa wa Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli'' wakihamia kwenye social medias zingine na mtaani wataharibu mindset ya vijana wengi ambao bado hawajaoa.

Mtu unaweza kuona Ndoa ni tatizo kwako lakini kwa wenzio ni Faraja kuu.
Kabisaaa. Yaani nakuunga mikono yote miwili ikiwezekana na miguu mkuu
 
Back
Top Bottom