Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika...
Kataa ndoa chini ya uzamini wa mkono bao🤣
 
Ni wazi kuwa Wazee wetu wa zamani walikuwa wakioa wanake wakiwa bado bikra, swali Hivi kwa miaka hii kuna wanawake wanaolewa wakiwa bado bikra kweli,

Mdau hebu funguka unazani ni kwanini hawaolewi wakiwa bado bikra?
 
Back
Top Bottom