Vijana watajitokeza kwa wingi sana kumpigia kura Rais Samia uchaguzi Ujao, Ni uchaguzi utakaoweka Historia ya vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

Nani k
Matengenezo madogo madogo zaidi ya miezi mitatu! Uza ubongo huo bro, maana hizo hela za propaganda zinakuchoresha.
Nani kakwambia Mimi nalipwa maana unahisi sote tunalipwa Kama wewe unavyolipwa kuja humu kupinga pinga kila kitu bila hoja
 
Hii Nchi Ngumu sana

Ok
Okey anyway

Let wait time is our greatest asset to tell us
 
Nani k
Nani kakwambia Mimi nalipwa maana unahisi sote tunalipwa Kama wewe unavyolipwa kuja humu kupinga pinga kila kitu bila hoja

Ni kweli sio kila mtu analipwa kama mimi, ndio maana uko hapa jukwaani tokea mwaka huu kusifia kila kitu kinachotokana na kodi za wanaume.
 
Ni kweli sio kila mtu analipwa kama mimi, ndio maana uko hapa jukwaani tokea mwaka huu kusifia kila kitu kinachotokana na kodi za wanaume.
Acha ubaguzi wa kijinsia wewe, kwa hiyo wanawake hawalipi Kodi? Usipofushwe na mawazo ya kibaguzi kwa Tofauti za kisiasa tu, utajikuta unawabagua na kuwadharau Hadi wazazi wako kisa tu hawakubaliana na wewe Kama ulivyo fanya hapa kumbagua Hadi mama yako ambaye Naye Ni mwanamke ambaye Mimi Namheshimu hata Kama simfahamu japo wewe umemdharau Hadi yeye
 
Narudia tena, hizo mnazosifia ni kodi za wanaume, acheni kuleta propaganda kwenye kodi zetu. Hata wazungu waliweka miundombinu na hakuna mtu aliwasifia.
 
Narudia tena, hizo mnazosifia ni kodi za wanaume, acheni kuleta propaganda kwenye kodi zetu. Hata wazungu waliweka miundombinu na hakuna mtu aliwasifia.
Tutaendelea kumsifu na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa kazi nzuri anayoifanya katika kututumikia watanzania bila ubaguzi wowote ule na huyu ndio chaguo letu watanzania
 
Tutaendelea kumsifu na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa kazi nzuri anayoifanya katika kututumikia watanzania bila ubaguzi wowote ule na huyu ndio chaguo letu watanzania

Msifie ww maana kakutoa kimaisha, sisi mahustler hatuna muda wa kumsifia yoyote anayefanya wajibu wake tena kwa kiwango duni.
 
Msifie ww maana kakutoa kimaisha, sisi mahustler hatuna muda wa kumsifia yoyote anayefanya wajibu wake tena kwa kiwango duni.
Kazi anazozifanya mh Rais za kugusa maisha yetu Ndio Zinazofanya tumsifu Sana mh Rais wetu mpendwa mama Samia
 
Nipe connection namimi nipost nilipwe mkuu, mtaani hakueleweki.
 
Na kama Vijana wanataka waendelee kupata ajira Badi wamchague mama 2025 ndio ana uchungu na wanawe ila wakijiroga na kuchagua wale wapuuzi wenye excuses lukuki waliacha kuajiri kwa visingizio vya sgr na bwawa watajua hawajui👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221022-185115.png
    131.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221022-184029.png
    182.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220930-112338.png
    97.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221013-151351.png
    228.2 KB · Views: 1
Kazi anazozifanya mh Rais za kugusa maisha yetu Ndio Zinazofanya tumsifu Sana mh Rais wetu mpendwa mama Samia

Mimi naguswa na kodi yangu sio msimamizi wa kodi yangu anayepika data. Ww ndio unaona rais anakufanyia hisani, hivyo lazima umsifie ili hizi hela za kumpamba zisiende bure.
 
Kwahizi ngojera zako huenda upo Karibu na huyu Mtawala...

Ushauri badala ya kutumia muda mwingi kusifia na kujivika kilemba cha Ukoka ni bora mkaumiza vichwa jinsi gani mnaweza kurudisha mambo kwenye reli as ninachokiona huku kitaa Things are Falling Apart
 
Apo umeongea
Chagueni tuu wazee wa madaraja wasiojali welfare mtaona moto..

In fact Mama amewajaki Sana Vijana awamu yake ni vile tuu hawajui kuchangamkia fursa..

Kuanzia kwenye kilimo,ufugaji na biashara pamoja na wamama ila wale wengine walikuwa wanaimba sgr sijui mabeberu and such upuuzi..
 
Niseme ukweli unajitahidi Sana kumsemea mama. Wasipokupa motisha watakuwa wakuvunja moyo. Endelea kusifu na kuabudu labda utaonekana siku moja.
 
Ni kweli, maana ukiwezesha kijana umewezesha jamii nzima.

Mi sijui yule mwingine ilikuwaje ila ndo hivyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…