Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia Mimi nalipwa maana unahisi sote tunalipwa Kama wewe unavyolipwa kuja humu kupinga pinga kila kitu bila hojaMatengenezo madogo madogo zaidi ya miezi mitatu! Uza ubongo huo bro, maana hizo hela za propaganda zinakuchoresha.
Okey anywayNdugu zangu kwa miaka Okey angi na kwa kipindi kirefu na kwa chaguzi nyingi vijana wa kitanzania wamekuwa wakijitokeza kwa kiasi kidogo Sana kupiga kura na kushiriki katika uchaguzi, Japo wakati mwingine wamekuwa wahudhuriaji Wazuri wa mikutano ya vyama vya siasa lakini wamekuwa wa mwisho linapokuja suala la kujitokeza siku ya kupiga kura.
Hii Ni kutokana na kukatishwa Tamaa na baadhi ya watu au viongozi waliokuwa wanawaamini Mara wanapokuwa wamepata nafasi za uongozi, vijana wamekuwa wakiona Ni Kama wanatumiwa tu pasipo kupata faida yoyote, vijana wamekuwa wanaona ni Kama hawapewi kipaombele hasa suala la ajira na mikopo, vijana wamekuwa wakiona ni Kama hata wakijaribu nafasi za uongozi hawachaguliwi kutokana na kuwa na uwezo mdogo wa kifedha ambazo baadhi ya wajumbe Ni Kama wamekuwa wakiangalia kina Cha mfuko wa pesa kumpa mtu Kura
Jambo hili limekuwa likiwakatisha Tamaa vijana, kuwavunja moyo,kuwa fanya waichukie siasa, kuwachukia baadhi ya wanasiasa wanaokuwa wakitoa lugha zinazo chukuliwa Kama dharau kwa vijana hasa wanapoona mtoaji wa kauli katika maisha yake yote hajawahi kujiajiri Wala kuwa machinga Wala kuwa muuza karanga Wala kushika jembe Wala kuendesha bodaboda Wala kulima matikiti maji Wala kuwa na biashara ya aina yoyote Ile zaidi ya kuhudumiwa kwa Kodi za Watanzania wavuja jasho ambao hawana uhakika wa kupata hata Milo mitatu kwa siku Wala kuelewa Ni vipi watalipa Kodi ya nyumba.
Lakini Tangia Rais Samia aapishwe na kuwa Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni Kama vijana wamechanua kimatumaini, wamepata Imani ya kuwa Sasa ndoto zao zitaweza kutimia, Sasa vijana wanajionaa wanaweza kugombea na kuwa viongozi hata Kama hawana fedha ilimradi tu wawe na sifa na vigezo vya kiuongozi na kukubalika na kuaminika na wapiga kura, Sasa vijana Wana Ari mpya na nguvu mpya ya kuijenga nchi yao, Sasa vijana na kila kijana anaona kuwa inawezekana kuinuka kiuchumi bila tatizo lolote,
Sasa vijana wanaona ukiwa hata na kiasi kidogo Cha mtaji unaweza ukafungua biashara na ikakua na kustawi na kuchangia katika ujenzi wa nchi yao, Sasa vijana wanaona kuwa keki ya Taifa inawafikia walipo, Sasa vijana wanaona kuwa serikali Ni yao, inawatumikia wao na inawapa kipaombele.
wanaona serikali yao inavyopambana kuweka mazingira wezeshi kwao, wanaona namna serikali yao inavyotaka kuhakikisha kuwa halmashauri zinatoa mikopo kwao pale wanapokuwa wamefuata taratibu na kukidhi vigezo, wanaona namna ambavyo hakuna ubaguzi katika kupata ajira au fursa ya aina yoyote Ile ya kiuchumi, wanaona namna serikali yao inavyojitahidi kutengeneza fursa za ajira kila Siku kupitia miradi mbalimbali Inayochipua kila siku
Rais Samia kawasha Taa ya matumaini katika mioyo ya Vijana wa kitanzania, Kaonyesha njia ya kufika katika mafanikio, kaonyesha upendo kwa vijana wake ambao hupenda kuwaita WANANGU kwa namna anavyo wapenda na kuwajari vijana wa kitanzania,
Hii imepelekea vijana kujiandaa kwa Hamu kubwa Sana kuja kumpigia kura nyingi Sana za ndio Rais Samia ili aendelee kuwatumikia vijana, ili aendelee kuwapa neema na fursa za kiuchumi maana vijana wameona kuwa Rais Samia Ni kiongozi aliyeonyesha dhamira ya dhati katika kuwabeba vijana na kuwakuza na kuwastawisha kiuchumi, Rais Samia ameonyesha Dhamira yake ya kuona fursa yoyote inayopatikana inakwenda kuwagusa kwanza vijana na kuwanufaisha
Rais Samia anahitaji kuona vijana wanajitegemea kiuchumi na kuwa na uwezo wa kujihudumia na kuwasaidia wazee wao wanaohitaji msaada wa kusaidiwa na kulelewa, Rais Samia Ni kipenzi Cha vijana ambaye amepelekea uchaguzi ujao kuwa mwepesi Sana kwake na kwa CCM kwa kuwa vijana wameamua kumpigia kura na kumuunga mkono
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Vijana wanasubiri muda huo ufike ili wampigie kura za kutoshaHii Nchi Ngumu sana
Ok
Okey anyway
Let wait time is our greatest asset to tell us
Nani k
Nani kakwambia Mimi nalipwa maana unahisi sote tunalipwa Kama wewe unavyolipwa kuja humu kupinga pinga kila kitu bila hoja
Acha ubaguzi wa kijinsia wewe, kwa hiyo wanawake hawalipi Kodi? Usipofushwe na mawazo ya kibaguzi kwa Tofauti za kisiasa tu, utajikuta unawabagua na kuwadharau Hadi wazazi wako kisa tu hawakubaliana na wewe Kama ulivyo fanya hapa kumbagua Hadi mama yako ambaye Naye Ni mwanamke ambaye Mimi Namheshimu hata Kama simfahamu japo wewe umemdharau Hadi yeyeNi kweli sio kila mtu analipwa kama mimi, ndio maana uko hapa jukwaani tokea mwaka huu kusifia kila kitu kinachotokana na kodi za wanaume.
Acha ubaguzi wa kijinsia wewe, kwa hiyo wanawake hawalipi Kodi? Usipofushwe na mawazo ya kibaguzi kwa Tofauti za kisiasa tu, utajikuta unawabagua na kuwadharau Hadi wazazi wako kisa tu hawakubaliana na wewe Kama ulivyo fanya hapa kumbagua Hadi mama yako ambaye Naye Ni mwanamke ambaye Mimi Namheshimu hata Kama simfahamu japo wewe umemdharau Hadi yeye
Tutaendelea kumsifu na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa kazi nzuri anayoifanya katika kututumikia watanzania bila ubaguzi wowote ule na huyu ndio chaguo letu watanzaniaNarudia tena, hizo mnazosifia ni kodi za wanaume, acheni kuleta propaganda kwenye kodi zetu. Hata wazungu waliweka miundombinu na hakuna mtu aliwasifia.
Tutaendelea kumsifu na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa kazi nzuri anayoifanya katika kututumikia watanzania bila ubaguzi wowote ule na huyu ndio chaguo letu watanzania
Kazi anazozifanya mh Rais za kugusa maisha yetu Ndio Zinazofanya tumsifu Sana mh Rais wetu mpendwa mama SamiaMsifie ww maana kakutoa kimaisha, sisi mahustler hatuna muda wa kumsifia yoyote anayefanya wajibu wake tena kwa kiwango duni.
Kazi anazozifanya mh Rais za kugusa maisha yetu Ndio Zinazofanya tumsifu Sana mh Rais wetu mpendwa mama Samia
Apo umeongeaNa kama Vijana wanataka waendelee kupata ajira Badi wamchague mama 2025 ndio ana uchungu na wanawe ila wakijiroga na kuchagua wale wapuuzi wenye excuses lukuki waliacha kuajiri kwa visingizio vya sgr na bwawa watajua hawajui👇
Wacha bwana🤣🤣🤣🤣Tanzania ndio kimbilio la wanyonge na mfano wa kuigwa kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na Kati na Afrika yote kwa ujumla wake
Chagueni tuu wazee wa madaraja wasiojali welfare mtaona moto..Apo umeongea
Ndugu zangu kwa miaka mingi na kwa kipindi kirefu na kwa chaguzi nyingi vijana wa kitanzania wamekuwa wakijitokeza kwa kiasi kidogo Sana kupiga kura na kushiriki katika uchaguzi, Japo wakati mwingine wamekuwa wahudhuriaji Wazuri wa mikutano ya vyama vya siasa lakini wamekuwa wa mwisho linapokuja suala la kujitokeza siku ya kupiga kura.
Hii Ni kutokana na kukatishwa Tamaa na baadhi ya watu au viongozi waliokuwa wanawaamini Mara wanapokuwa wamepata nafasi za uongozi, vijana wamekuwa wakiona Ni Kama wanatumiwa tu pasipo kupata faida yoyote, vijana wamekuwa wanaona ni Kama hawapewi kipaombele hasa suala la ajira na mikopo, vijana wamekuwa wakiona ni Kama hata wakijaribu nafasi za uongozi hawachaguliwi kutokana na kuwa na uwezo mdogo wa kifedha ambazo baadhi ya wajumbe Ni Kama wamekuwa wakiangalia kina Cha mfuko wa pesa kumpa mtu Kura
Jambo hili limekuwa likiwakatisha Tamaa vijana, kuwavunja moyo,kuwa fanya waichukie siasa, kuwachukia baadhi ya wanasiasa wanaokuwa wakitoa lugha zinazo chukuliwa Kama dharau kwa vijana hasa wanapoona mtoaji wa kauli katika maisha yake yote hajawahi kujiajiri Wala kuwa machinga Wala kuwa muuza karanga Wala kushika jembe Wala kuendesha bodaboda Wala kulima matikiti maji Wala kuwa na biashara ya aina yoyote Ile zaidi ya kuhudumiwa kwa Kodi za Watanzania wavuja jasho ambao hawana uhakika wa kupata hata Milo mitatu kwa siku Wala kuelewa Ni vipi watalipa Kodi ya nyumba.
Lakini Tangia Rais Samia aapishwe na kuwa Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni Kama vijana wamechanua kimatumaini, wamepata Imani ya kuwa Sasa ndoto zao zitaweza kutimia, Sasa vijana wanajionaa wanaweza kugombea na kuwa viongozi hata Kama hawana fedha ilimradi tu wawe na sifa na vigezo vya kiuongozi na kukubalika na kuaminika na wapiga kura, Sasa vijana Wana Ari mpya na nguvu mpya ya kuijenga nchi yao, Sasa vijana na kila kijana anaona kuwa inawezekana kuinuka kiuchumi bila tatizo lolote,
Sasa vijana wanaona ukiwa hata na kiasi kidogo Cha mtaji unaweza ukafungua biashara na ikakua na kustawi na kuchangia katika ujenzi wa nchi yao, Sasa vijana wanaona kuwa keki ya Taifa inawafikia walipo, Sasa vijana wanaona kuwa serikali Ni yao, inawatumikia wao na inawapa kipaombele.
wanaona serikali yao inavyopambana kuweka mazingira wezeshi kwao, wanaona namna serikali yao inavyotaka kuhakikisha kuwa halmashauri zinatoa mikopo kwao pale wanapokuwa wamefuata taratibu na kukidhi vigezo, wanaona namna ambavyo hakuna ubaguzi katika kupata ajira au fursa ya aina yoyote Ile ya kiuchumi, wanaona namna serikali yao inavyojitahidi kutengeneza fursa za ajira kila Siku kupitia miradi mbalimbali Inayochipua kila siku
Rais Samia kawasha Taa ya matumaini katika mioyo ya Vijana wa kitanzania, Kaonyesha njia ya kufika katika mafanikio, kaonyesha upendo kwa vijana wake ambao hupenda kuwaita WANANGU kwa namna anavyo wapenda na kuwajari vijana wa kitanzania,
Hii imepelekea vijana kujiandaa kwa Hamu kubwa Sana kuja kumpigia kura nyingi Sana za ndio Rais Samia ili aendelee kuwatumikia vijana, ili aendelee kuwapa neema na fursa za kiuchumi maana vijana wameona kuwa Rais Samia Ni kiongozi aliyeonyesha dhamira ya dhati katika kuwabeba vijana na kuwakuza na kuwastawisha kiuchumi, Rais Samia ameonyesha Dhamira yake ya kuona fursa yoyote inayopatikana inakwenda kuwagusa kwanza vijana na kuwanufaisha
Rais Samia anahitaji kuona vijana wanajitegemea kiuchumi na kuwa na uwezo wa kujihudumia na kuwasaidia wazee wao wanaohitaji msaada wa kusaidiwa na kulelewa, Rais Samia Ni kipenzi Cha vijana ambaye amepelekea uchaguzi ujao kuwa mwepesi Sana kwake na kwa CCM kwa kuwa vijana wameamua kumpigia kura na kumuunga mkono
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Ni kweli, maana ukiwezesha kijana umewezesha jamii nzima.Chagueni tuu wazee wa madaraja wasiojali welfare mtaona moto..
In fact Mama amewajaki Sana Vijana awamu yake ni vile tuu hawajui kuchangamkia fursa..
Kuanzia kwenye kilimo,ufugaji na biashara pamoja na wamama ila wale wengine walikuwa wanaimba sgr sijui mabeberu and such upuuzi..