Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Wazazi wanahaki ya kuchukua mahali haijalishi binti katumika kiasi gani,wao Kama walifanya jukumu lao ipasavyo basi pia ni jukumu la binti kujitunza
 
Siyo wote wanawakumbuka walio watoa bikra,je mfano hao watoto wanao bakwa bikra zao zinatolewa unataka kuniambia mpka wanakuwa wakubwa wanawakumbuka kwa upendo hao watoa bikra au kwa machungu?
Sasa ishu ya kubakwa ni tofauti na ile ya mwanamke kutaka mwenyewe.
Two different things .
 
Ajira huna, mahari utaweza kulipa? Tungekua tunawalipia na wanaume kipimo kingekua nini? Life itself is complicated bado na wewe unacomplicate
Kuwa jobless sio kilema mkuu. Ninaweza nisiwe na uwezo huo sasa hivi ila hapo badae mambo yakawa mazuri. Kheri yako ambaye umebarikiwa kipato kizuri. Mungu wako aendelee kukuzidishia
 
Na huenda vijana wengine wamegharamikia sana na show kidogo .
Hayo yote yatawekwa kwenye negotiation wakati wa kupanga mahari. Na wale walioliwa nauli zao bila kupewa mzigo lazima wapate compensation yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…