winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,006
- 1,151
Wapi nimesema nna kipato? Nyie ndio mnafanya wanawake wawape bikra feki mchina anauza bei cheee....Kuwa jobless sio kilema mkuu. Ninaweza nisiwe na uwezo huo sasa hivi ila hapo badae mambo yakawa mazuri. Kheri yako ambaye umebarikiwa kipato kizuri. Mungu wako aendelee kukuzidishia
Aisee nikuambie kitu, mwanaume ukishindwa mridhisha mwanamke, hutaacha ona kila rangi. Angalia hao mabikra wa kiume, wanatesekqga mno,, wao wanajua kuchomeka tu basi.Exactly.
Unaona jinsi ilivyo rahisi kupindisha pindisha maneno kwenye haya masuala😂
Unachotakiwa uzingatie ni kama mnapendana kweli
😀😀😀😀 Tatizo hawana point wanapenda kutumia mihemko tuExactly.
Unaona jinsi ilivyo rahisi kupindisha pindisha maneno kwenye haya masuala😂
Unachotakiwa uzingatie ni kama mnapendana kweli
Kwasababu wazazi walipaswa kuhakikisha binti yao hafunuliwi, kwa mila na desturi zetu za Kiafrika na hata dini ya Kiyahudi zinafundisha hivyo.Division One kwann?
Na yeye mwanamke mwache ajifunze kumridhisha mwanaumeAisee nikuambie kitu, mwanaume ukishindwa mridhisha mwanamke, hutaacha ona kila rangi. Angalia hao mabikra wa kiume, wanatesekqga mno,, wao wanajua kuchomeka tu basi.
Sijasema mahari isichukuliwe nimekazia zaidi kwenye kigezo cha value for money. Mahari ni zawadi kwa kutunziwa mke yaani unapewa binti akiwa bado kigoli sasa kama iyo sifa binti hana basi mahari igawanywe kwa wanaume wote aliotembea nao.Wazazi wanahaki ya kuchukua mahali haijalishi binti katumika kiasi gani,wao Kama walifanya jukumu lao ipasavyo basi pia ni jukumu la binti kujitunza
Haiwezekani hii kitu. Hasahasa kama mwanamke alipataga mtu wa kumshona , hawavumiliii hii kitu, mwanaume anaweza vumilia ila sio mwanamke.Na yeye mwanamke mwache ajifunze kumridhisha mwanaume
Lakin maisha ya Sasa ni tofauti,wazazi wapo busy kutafuta hela huo mda wa kumchunga binti wa miaka 16 kuendelea huko wanaupata wapi,wakat shuleni kila kitu kinafundishwa?Kwasababu wazazi walipaswa kuhakikisha binti yao hafunuliwi, kwa mila na desturi zetu za Kiafrika na hata dini ya Kiyahudi zinafundisha hivyo.
Au ulitaka umaanishe nini, soma Uzi wangu.Na yeye mwanamke mwache ajifunze kumridhisha mwanaume
Upo, mtoto ukimfundisha akiwq mdogo, atashika mambo hayohayo akikuwa.Lakin maisha ya Sasa ni tofauti,wazazi wapo busy kutafuta hela huo mda wa kumchunga binti wa miaka 16 kuendelea huko wanaupata wapi,wakat shuleni kila kitu kinafundishwa?
Kama mwanaume anaweza kumridhisha mwanamke, basi mwanamke anaweza kumridhisha mwanaumeAu ulitaka umaanishe nini, soma Uzi wangu.
Yaani mwanamke akufundishe? Atakuona dhaifuKama mwanaume anaweza kumridhisha mwanamke, basi mwanamke anaweza kumridhisha mwanaume
Na inakuaje kuhusu mwanamke kumridhisha mwanaume?Kama mwanaume anaweza kumridhisha mwanamke, basi mwanamke anaweza kumridhisha mwanaume
Upo, mtoto ukimfundisha akiwq mdogo, atashika mambo hayohayo akikuwa.
Mtoto akiwq na tabia mbovu, ni uzembe wa wqzazi.
Si anakua fundi😂Na inakuaje kuhusu mwanamke kumridhisha mwanaume?
Sawa tu maana Yuko mikononi mwangu.Utajisikiaje mfano umemlea mtoto wako vzur,afu aje abadilishwe tabia chuon au o level huko afu lawama upewe we.
Sijawahi kukutana nao, ni wa kabila gani?Si anakua fundi😂
Hujawahi kusikia wanawake wa unyago wakisifiwa?
Hapana, hutaweza kumuoa mwanamke ambaye mtapanga foleni kutoa mahari maana mtajipa mamlaka wote kwa huyo mwanamkeKwa maisha sasa mwanaume kulipishwa mahari ni utapeli wa wazi wazi kabisa kwa sababu wanawake wa leo hawana sifa walizokua nazo wanawake wa jamii ya zamani kipindi ambacho uliwekwa huu utaratibu wa kutoa mahari.
Tunaposema mahari ni shukrani kwa kutunziwa mke maana yake unapewa binti akiwa bado kigoli ambae hajaguswa yaani unaenda kuizindua mbususu wewe mwenyewe maana tukisema matunzo kama kusoma, mavazi, chakula n.k hayo hata mtoto wa kiume anatakiwa kupewa pia.
Iweje nilipishwe mahari wakati sijapita peke yangu? This is unacceptable. Wakati wa ku-negotiate mahari mwanamke aweke wazi wanaume aliotembea nao na mahari igawanywe kulingana na muda ambao walikaa katika mahusiano na kila mwanaume husika.