Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Wapi nimesema nna kipato? Nyie ndio mnafanya wanawake wawape bikra feki mchina anauza bei cheee....
Wakati wa negotiations za kutoa mahari ukiamua kudanganya idadi ya wanaume uliotembea nao au kuweka bikira feki ni maamuzi yako lakini huo ni utaperi na ikijulikana basi make sure you can handle the lest. Ninachokiongelea hapa ni lazima kuwe na standard values kukomesha huu upigaji tunaofanyiwa wanaume.
 
Sema nini, jau sana yaani.
 
Hoja yako ipo vizuri japo wengine wanakuona umetoa boko.

Mahari maana yake ni kile unacholipia kwa kutunziwa sasa kama mwanamke ametembea na wanaume lukuki maana ya mahari inapotea.
 
Hapana, hutaweza kumuoa mwanamke ambaye mtapanga foleni kutoa mahari maana mtajipa mamlaka wote kwa huyo mwanamke
Napendekeza mahari ifutwe kwa wanawake waliokwisha tumika.
Umetoa alternative nzuri kikubwa wote tupo pale pale kwenye point ya msingi "value for money"
 
Nyie mnatembea na wangapi mpaka kuoa? Acheni mfumo dume, bikra pande zote. Mtaendelea kudanganywa tu
 
Nyie mnatembea na wangapi mpaka kuoa? Acheni mfumo dume, bikra pande zote. Mtaendelea kudanganywa tu
Sijakataza countless relationships katika zile heka heka za kutafuta chemistry/soul mate. Ninachoongelea hapa ni kuwe na standard values katika kutoa mahari. Mahari ni zawadi kwa wazazi wa mwanamke kama shukrani ya kutunziwa kigoli (mwanamke bikira). Kama mwanamke hana sifa za kuwa kigoli basi na mahari haina maana tena ni either igawanywe kwa wanaume wote ambao ashatembea nao au ifutwe kabisa
 
Basi wahusika wamekusikia hamtalipa tena mahari usihofu.
 
Kama msichana hana bikra ni marufuku kupeleka mahari wakilazimisha wapelekee magagulo meusi na mekundu kama ya waganga wakienyeji.
 
sio haki maana hata sisi hatupendi kubadili wanaume. ni vile hamjatulia mnachovya chovya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…