Kwa maisha sasa mwanaume kulipishwa mahari ni utapeli wa wazi wazi kabisa kwa sababu wanawake wa leo hawana sifa walizokua nazo wanawake wa jamii ya zamani kipindi ambacho uliwekwa huu utaratibu wa kutoa mahari.
Tunaposema mahari ni shukrani kwa kutunziwa mke maana yake unapewa binti akiwa bado kigoli ambae hajaguswa yaani unaenda kuizindua mbususu wewe mwenyewe maana tukisema matunzo kama kusoma, mavazi, chakula n.k hayo hata mtoto wa kiume anatakiwa kupewa pia.
Iweje nilipishwe mahari wakati sijapita peke yangu? This is unacceptable. Wakati wa ku-negotiate mahari mwanamke aweke wazi wanaume aliotembea nao na mahari igawanywe kulingana na muda ambao walikaa katika mahusiano na kila mwanaume husika.