VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Tatizo hiki kizazi cha π.Mnaendekeza zinaa na inapelekea kuoa wasio wa kuoa.Katika suala la kuoa inabidi uwe FBI au USALAMA WA TAIFA kumchunguza mwanamke wa kuoaHamna ndoa ya hivyo bana weπ ingekuwa hivyo kelele zisingefika mtandaoni humu! Ndoa kongwe zote zinapumulia mashine
Sawa mkuu ila nina bro ni Tiss na bado kabambikiwa mtoto unafanya mchezo nnπ π πTatizo hiki kizazi cha π.Mnaendekeza zinaa na inapelekea kuoa wasio wa kuoa.Katika suala la kuoa inabidi uwe FBI au USALAMA WA TAIFA kumchunguza mwanamke wa kuoa
Umpate mwenye akili zake timamu sasa ndiyo utafurahia, ila ndoa ni zaidi ya hayoWakuu Ndoa ni tamu ndiyo ndoa ni tamu kwan kuna mtu anabisha kwenye hilo
Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno matam na yenye kukutia moyo unapoenda kutafuta riziki.
Kila baada ya masaa 2 lazima haakikishe hali yako huko, ukirudi unapokelewa vizuri na maneno ya pole na ahsante. Jaman hayo ni baadhi ya mazuri ya ndoa nawashangaa mnaogopa kuoa. Mwanamke anakupa ushauri mzuri naukiufuata lazima tu ufanikiwe. Mke ndo anakuwa wa kwanza kuufariji pale unapokuwa na stress hakika tabasamu lake tu ni tiba ya mambo mengi kwangu
Vijana wenzangu tusiogope kuoa tafuta yule unaempenda na yeye anakupenda hakika siku zote hitajutia kuoa
Namalizia ndoa tamu mke ni faraja ni chanzo cha mafanikio yako.
Usiogope kuoa
ππHuyo Tiss katika taaluma ila katika kanjanja za maisha ya mahusiano kala buyu.Wanawake tuishi nao kwa akili,hiv viumbe bhana ni vya ajabu ndio maana tuwe makini sana na hakuna kuendekeza hisia hapo lazima upate mke sahihiSawa mkuu ila nina bro ni Tiss na bado kabambikiwa mtoto unafanya mchezo nnπ π π
Ombea upate ila ukipatikana, hutakaa acha ona rangi zote...Ndoa ni kama jigsaw puzzle ukipatia ni raha sana.
Hahahha mwamba itakuwa kapigwa kitu cha PyongYang maana hajielewi nyumba 3 kamuandikia mwanamke zote yeye analewa K vant tu kwa stressππHuyo Tiss katika taaluma ila katika kanjanja za maisha ya mahusiano kala buyu.Wanawake tuishi nao kwa akili,hiv viumbe bhana ni vya ajabu ndio maana tuwe makini sana na hakuna kuendekeza hisia hapo lazima upate mke sahihi
Hongera, tatizo watu wanazani ndoa zote ni ngumu hapana[emoji3]
ππHahahha mwamba itakuwa kapigwa kitu cha PyongYang maana hajielewi nyumba 3 kamuandikia mwanamke zote yeye analewa K vant tu kwa stress
Hongera, tatizo watu wanazani ndoa zote ni ngumu hapana[emoji3]
Sio ndoa zote ni ngumu hata ndoa nzuri zipo japo migongano ya hapa na pale haiwezi kukosekana lakini upendo unakuwa pale pale!Haiweztoke kamwe
Muombee mema mwenzio ili nawe upate mema toka kwa mkeoYana mwisho
Apokee kwa jina la YesuMuombee mema mwenzio ili nawe upate mema toka kwa mkeo
Tatizo linaanzia hapo, wengi tunabebana hivyo hivyoTatizo hiki kizazi cha [emoji216].Mnaendekeza zinaa na inapelekea kuoa wasio wa kuoa.Katika suala la kuoa inabidi uwe FBI au USALAMA WA TAIFA kumchunguza mwanamke wa kuoa
Itakuwa alikuwa anajifanya mjanja sasa kakutana na zaidi yake.Tiss ni huko sisiem lakini kwenye ndoa haifanyi kaziSawa mkuu ila nina bro ni Tiss na bado kabambikiwa mtoto unafanya mchezo nn[emoji28][emoji28][emoji28]
Amina kwa niaba yake, [emoji3]Apokee kwa jina la Yesu
Hahahahahah kakosea kuoa sioItakuwa alikuwa anajifanya mjanja sasa kakutana na zaidi yake.Tiss ni huko sisiem lakini kwenye ndoa haifanyi kazi