Ndiyo maana yake, kwenye ndoa usifanye ujuaji, kina mjeda aliambiwa huyo dada humuwezi kasema yeye mjeda kilichompata kidogo watoane roho, ile ndoa zamani sana haipo sahizi kila mtu anamwenzie mpya na walikuwa na watoto 3/4 hiviHahahahahah kakosea kuoa sio
Siku Ukigundua unagongewa na bodaboda uje hapa kuleta uzi mwingine
Dah kwamba unashindwa kuamin hilo nalo auSema miezi kumi ya ndoa sio miaka
Umenena vyemaTatizo hiki kizazi cha [emoji216].Mnaendekeza zinaa na inapelekea kuoa wasio wa kuoa.Katika suala la kuoa inabidi uwe FBI au USALAMA WA TAIFA kumchunguza mwanamke wa kuoa
Yan watu wameqminishwa ndoa lazima ziwe na malumbanoHongera, tatizo watu wanazani ndoa zote ni ngumu hapana[emoji3]
Ndiyo hivyo, watu wakiwa wanajaliana utasikia bado ngoja tu muda utafika kwanini usemee mapenzi ya watu wengine?
Mmmm kumbe kuna mambo mazuri Sana huko hadi umenitamanishaWakuu Ndoa ni tamu ndiyo ndoa ni tamu kwan kuna mtu anabisha kwenye hilo
Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno...
Ndoa ni jambo jema lenye heri kinachofanyaga watu waione chungu ni vile watu kutaka kuwa ka bachelor, au kipindi cha uchumba na miezi ya mwanzo ku fake, then Ile fake zone ikiisha Sasa watu wanaonyesha true colors zao ndio malalamiko huwa chungu nzima, so ndoa ni nzuri ila ups and downs ni za kawaida so kukitokea changamoto haimaanishi ni utakatifu
Mambo yapo mazuri mno cha msingi tafuta umpendae na yeye akupendeMmmm kumbe kuna mambo mazuri Sana huko hadi umenitamanisha
Well saidNdoa ni jambo jema lenye heri kinachofanyaga watu waione chungu ni vile watu kutaka kuwa ka bachelor, au kipindi cha uchumba na miezi ya mwanzo ku fake, then Ile fake zone ikiisha Sasa watu wanaonyesha true colors zao ndio malalamiko huwa chungu nzima, so ndoa ni nzuri ila ups and downs ni za kawaida so kukitokea changamoto haimaanishi ni utakatifu
Duuh, kwaiyo vijana wasiwahi kuina walau kdg radha ya ndoaTheory iko very Clear...
Ila kwa ground mambo huwa ni tofauti kabisa... Vijana wasioe tu
Duuh, kwaiyo vijana wasiwahi kuina walau kdg radha ya ndoa
Hapan usikatishe wenzako tamaa kwenye ndoa kuna raha yake
Usisahau Kulete mrejesho Ukishagalagazwa Chini.. Ni suala la muda tuWakuu Ndoa ni tamu ndiyo ndoa ni tamu kwan kuna mtu anabisha kwenye hilo
Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno matam na yenye kukutia moyo unapoenda kutafuta riziki.
Kila baada ya masaa 2 lazima haakikishe hali yako huko, ukirudi unapokelewa vizuri na maneno ya pole na ahsante. Jaman hayo ni baadhi ya mazuri ya ndoa nawashangaa mnaogopa kuoa. Mwanamke anakupa ushauri mzuri naukiufuata lazima tu ufanikiwe. Mke ndo anakuwa wa kwanza kuufariji pale unapokuwa na stress hakika tabasamu lake tu ni tiba ya mambo mengi kwangu
Vijana wenzangu tusiogope kuoa tafuta yule unaempenda na yeye anakupenda hakika siku zote hitajutia kuoa
Namalizia ndoa tamu mke ni faraja ni chanzo cha mafanikio yako.
Usiogope kuoa
Apo kwenye nimpende na anipende ndo changamoto maana toka nimekuwa mkubwa napendaga tuu hata sipendwi basi hadi nimekata tamaaaMambo yapo mazuri mno cha msingi tafuta umpendae na yeye akupende
Sent using Jamii Forums mobile app